Hivi MBUSUSU ni kitu gani? Maana naona inatajwa kila kona humu ndanišŸ¤”

Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekanišŸ™„
Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk..
Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza...
Naomba nijue isije siku nikalitumia sehemu isiyofaa..
NB: kuna mtu inbox aliniambia sijui kuchakata mbususu like thatšŸ¤”
Ni ile mifuko ya mbolea
 
Semeni kwa lugha ya malkia ataelewa. Japo Wakenya wanasema hatujui kiingereza, jaribu tu kwa neno la kiingereza.
 
Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekanišŸ™„
Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk..
Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza...
Naomba nijue isije siku nikalitumia sehemu isiyofaa..
NB: kuna mtu inbox aliniambia sijui kuchakata mbususu like thatšŸ¤”
Kuichakata/kuiprocess mbususu
 
Back
Top Bottom