Hivi MBUSUSU ni kitu gani? Maana naona inatajwa kila kona humu ndani🤔

Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekani🙄
Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk..
Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza...
Naomba nijue isije siku nikalitumia sehemu isiyofaa..
NB: kuna mtu inbox aliniambia sijui kuchakata mbususu like that🤔
Neno lolote la 'kiswahili kitarafa', lazima ulielewe hata kama haujawahi kulisikia.
Kwa sababu, kwenye sentensi lilimopachikwa neno hilo lazima litakuwa limeunganishwa na maneno mengine kuleta maana iliyokusudiwa.

Hawezi mtu akatupia neno kama taka taka na likaelea hewani kama baloon, hapo mkuu umetudanganya!

Wapo binadamu wengine kuikamilisha furaha yao huwa mpaka aulize mtu jambo alilokwisha kulifanya, akijibiwa kwa ufasaha, hapo furaha yake ndiyo hukamilika.

Kwa mfano unaweza kukuta mtu kaona mwanamke amekaa uchi bila kujistiri kwa nguo za ndani, sasa furaha yake hapo mpaka akasimulie watu wengine kwamba leo nimeuona 'uchi wa mwanamke' live!

Huo ni mfano tu natoa, unielewe vizuri, hauhusiani na mada!

Na wewe hapo wawezakuwa umetekeleza jambo linalohusiana na neno hilo, sasa furaha yako unataka ushuhudie watu wengine wakirudia kulitaja ama kulijadili neno hilo ndipo utapojisikia mswanoo kabisa.
 
Hiyo hapo mkuu
1748262214566.jpg
 
Neno lolote la 'kiswahili kitarafa', lazima ulielewe hata kama haujawahi kulisikia.
Kwa sababu, kwenye sentensi lilimopachikwa neno hilo lazima litakuwa limeunganishwa na maneno mengine kuleta maana iliyokusudiwa.

Hawezi mtu akatupia neno kama taka taka na likaelea hewani kama baloon, hapo mkuu umetudanganya!

Wapo binadamu wengine kuikamilisha furaha yao huwa mpaka aulize mtu jambo alilokwisha kulifanya, akijibiwa kwa ufasaha, hapo furaha yake ndiyo hukamilika.

Kwa mfano unaweza kukuta mtu kaona mwanamke amekaa uchi bila kujistiri kwa nguo za ndani, sasa furaha yake hapo mpaka akasimulie watu wengine kwamba leo nimeuona 'uchi wa mwanamke' live!

Huo ni mfano tu natoa, unielewe vizuri, hauhusiani na madq!

Na wewe hapo wawezakuwa umetekeleza jambo linalohusiana na neno hilo, sasa furaha yako unataka ushuhudie watu wengine wakirudia kulitaja ama kulijadili neno hilo ndipo utapojisikia mswanoo kabisa.
Nadhani Tuishie Hapa Kwenye Maoni Yako Mdau....
 
Hivi ccm haina chama rafiki toka marekani, uingereza na ujerumani? Naona china, urusi na korea kaskazini. Pia sijaona chama kutoka nchi za kiarabu!
 
Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekani🙄
Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk..
Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza...
Naomba nijue isije siku nikalitumia sehemu isiyofaa..
NB: kuna mtu inbox aliniambia sijui kuchakata mbususu like that🤔
Ni ****...Naamini Nawe Unayo J....
 
Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekani🙄
Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk..
Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza...
Naomba nijue isije siku nikalitumia sehemu isiyofaa..
NB: kuna mtu inbox aliniambia sijui kuchakata mbususu like that🤔
The river between
 
Hivi ccm haina chama rafiki toka marekani, uingereza na ujerumani? Naona china, urusi na korea kaskazini. Pia sijaona chama kutoka nchi za kiarabu!
Blaza chama na mbususu vina husiana vipi mangi ? Au ndio mambo ya visungura bwashee
 
Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekani🙄
Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk..
Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza...
Naomba nijue isije siku nikalitumia sehemu isiyofaa..
NB: kuna mtu inbox aliniambia sijui kuchakata mbususu like that🤔
Mbususu ni qumah
 
Back
Top Bottom