maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 2,338
- 5,286
Kazi na Dawa Mkuu. Weekend ishaanza, tutulie kidogo kutumikia wakubwaKukaza fuvu mda mwingine jau kinoumaš
Kazi na Dawa Mkuu. Weekend ishaanza, tutulie kidogo kutumikia wakubwaKukaza fuvu mda mwingine jau kinoumaš
Siasa za maji taka mda mwingine ni kujichosha tuHamna kitu cha kusifia hii wiki
Mimi kazi na dawa mda wote bwashe bila busta mambo hayaendi kabisaKazi na Dawa Mkuu. Weekend ishaanza, tutulie kidogo kutumikia wakubwa
HAkuna tatizo mkuu. Pata kitu roho inapenda cha msingi tusiiharibu keshoMimi kazi na dawa mda wote bwashe bila busta mambo hayaendi kabisa
Mimi naishi sasa time ni illusion tu š¤£HAkuna tatizo mkuu. Pata kitu roho inapenda cha msingi tusiiharibu kesho
hiyo komenti haihusiani na uzi huu, kuna uzi nilikuwa nakomenti nikakuta imedumbukia kwenye uzi huu, nimecheka sana, sina mbavuBlaza chama na mbususu vina husiana vipi mangi ? Au ndio mambo ya visungura bwashee
Ukilewa kuchati niachie mimi bwashee š¤£hiyo komenti haihusiani na uzi huu, kuna uzi nilikuwa nakomenti nikakuta imedumbukia kwenye uzi huu, nimecheka sana, sina mbavu
Sikupingi mkuu Nakukubali sana Heshima yakoMimi naishi sasa time ni illusion tu š¤£
Heshima kwako pia masterSikupingi mkuu Nakukubali sana Heshima yako
Pamoja mkuuHeshima kwako pia master
Mmh me sio mfuatikiaji sana wa hizo habari, ila humu zipo zakutoshaKama hadi leo neno 'Mbususu' hulijui basi tambua kuwa bado hujazaliwa na kwamba unachati ukiwa tumboni mwa mama yako.
Hii šlisti ya watu itakushangaa sana!
Nomadix holoholo Monetary doctor Mbaga Jr Eli Cohen mzabzab Binti Sayunii Mshangazi dot com Nusratt.
Sahihi..Ile kitu inamesa mwensake.