Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

Bado uwezo mdogo. Bidhaa za Marekani ziatumika sana, sema ujui unatumiaje izi ni bidhaaa ambazo unatumia masaa 24.
Google
Android
Ios
ATM
Visa and master card
GPS
Opera, Google chrome
Kwa iyo America ni zaidi ya wewe uijuavyo
US ni habari nyingine ile China mwenyewe ilibidi apeleke wanafunzi kibao miaka ya nyuma wakajifunze teknolojia mbalimbali zilizopo US ndipo wasomi hao kurudi China na China kuanza kufanya vizuri, hata model ya uchumi wa China ilibidi wabadilike kuiga model za US ndipo wakanza fanya vizuri na China wenyewe hawafichi huwa wanakiri wazi kwenye mafanikio yao US anahusika sana tu.
 
Ukweli mtupu ambao mtu asiye biased hakika ataukubali
 
Hii ni unazi tu, wachina ni copy cats tu !
Hapa Afrika tunavitu vyingi tunatumia kuyoka uchina ndo inafanya tumuone kama anateknolojia kubwa kiviiile kushinda USA, simaanishi china wanateknolojia ndogo point yangu ni huezi kulinganisha na USA
Teknolojia nyingi mpya na startups ukilinganisha marekani na China utaona marekani ndo inaongoza sasa utasemaje eti China wanazidi USA?
 
Hata tenda za ujenzi Africa mchina kambwaga mbali US na Europe hawampati
Ni kanuni ya asili tu bidhaa iliyoko sokoni yenye bei ndogo kuliko zingine ina uwezekano mkubwa wa kuuzika
 
Wanajidanganya saana USA kawazid mbali saana.
 
Sikukuelewa vizuri post yako mkuu, nakubaliana na wewe 100% 😂😂😂😂😂, kiteknolojia ukilinganisha USA na China USA yupo juu
 
Marekani bidhaa zake anajikita hasa soko la high class hivyo production yake haijikiti sana kwenye mass production Kwa ajili ya Dunia nzima class za chini .Mchina kajikita kwenye mass production Kwa ajili ya low class ambao wako wengi Dunia nzima ndio majority ya Dunia kuhakikisha wanapa bidhaa affordable

Na anapata faida kweli kweli Kwa mass sales

Lengo la china ni ku dominate soko la low income people kuhakikisha hakuna wa kupenya
 
Umeongea uongo mwingi mkuu.
USA wavumbuzi wake karibia wote wazungu hasa wa Germany.
USA hana mtu wa asili yake aliyevumbua kitu abadaaan.
Katika HIZO RESEARCH NA UVUMBUZI IWE INVENTION AU INNOVATION UTAKUTA Wajapan,wajerumani,wayahudi,wachina na Wahindi.
Kataa usikatae.
Pia China ana research centre zake pasi na kusubiri ku innovate vile vya Ulaya.
Ndio maana hata Maglev alianza igundua yeye kabla ya mtu mwingine.
China analenga masoko aina yote ukitaka bidhaa original utapata kulinagana hela yako ukitaka hafifu utapata.
HIVI UNAJUA KAMA EV CARS ZA CHINA ZIKO VIZURI KULIKO ZA TESLA!?
China siku hizi HAMSUBIRI MTU ANA VITUO VYAKE VYA RESEARCH NA UVUMBUZI.
 
Ukweli mtupu ndo maana leo hii wabongo wanavaa balenciaga, LV na designer zingine kibao ila feki za kichina😀🙄
 
Duh huu ndo uelewa wako.
 
Wewe ndo unaongea unazi Shehe unapingana na ukweli,
kaicheki kwanza Bell labs, teknolojia nyingi ambazo ndo msingi wa asilimia kubwa ya teknolojia tunazotumia saivi zimetokea huko kuanzia transistors, unix etc. Nenda kafatilie utajuwa vizuri.
Wachina ni copycats tu na huo ndo ukweli
 
Hii bro ukae Ukijua USA hauzi Ili ale ilaha Anajitosheleza mahitaji yake mwenyewe!; Tofauti na Mchina Mjapani and the like lazima wauze ndio wale...
 
Hii bro ukae Ukijua USA hauzi Ili ale ilaha Anajitosheleza mahitaji yake mwenyewe!; Tofauti na Mchina Mjapani and the like lazima wauze ndio wale...
Kwa mawazo hayo Ina maana wamerudi nyuma kwenye uchumi wa kujikimu sio wa kimataifa

Ni sawa na mtu wa kijijini anayesema sihitaji kulima zaidi nipate Hela zaidi wakati Nina chakula tele Cha kula sihitaji kununua niuze nipate pesa ili iweje wakati Nina vyakula kibao ghalani na nikihitaji chochote hapa kijijini napata
 
Hii bro ukae Ukijua USA hauzi Ili ale ilaha Anajitosheleza mahitaji yake mwenyewe!; Tofauti na Mchina Mjapani and the like lazima wauze ndio wale...
Kwanini usijitosheleze kama hata pesa yenyewe una print tu haipewi sapoti na kitu chochote cha thamani
 
Kumbe huelewi kwamba USA Anakula Trade Mark!
 
China wapo vizuri
But USA is not ovarrated
 
Kuna jambo labda sijaeleweka.
Hao wavumbuzi ni Europeans na Asians..
Hao USA wanaendeleza tu vumbuzi za watu.
Ndio maana nikakwambia nenda research centres za USA utakutana na hao watu.
Pia China sasa hivi hasubiri kufanya copy and cat kama unavyodai wewe labda hufuatilii mambo.
Kuna kipindi maarufu kinaitwa INVENT capital TV wanakionesha sana katizame research centre za China zinavyopambana kuvumbua.
Kumbuka katika hiyo invention ili iwe bora lazima kufanyike innovations.
Kupitia innovations tunapata version mpya za teknolojia husika.
Na huwezi fanya hivyo kama hauna research centres.
Germany ndiye aliye invent bullet trains ambazo hupita katika standard/broadway gauge railway, ila China akafanya innovations za bullet train ambazo zitapita katika Magnet levelation rail.
Za China zikaonekana kuwa na ufanisi wa kasi zaidi.
Kwa namna hii huwezi fanikiwa kama hauna RESEARCH CENTRES.
Tusibishane bure aisee kaifuatilie China kiuzuri haimsubiri mtu siku hizi.
 
Umenena vizuri sana..... USA anapika sana data..... Taarifa zake hazina ukweli kivile.
Labda Mimi tu ndo Nina kiazi mbatata hapa juu ya shingo?
Maana nachojua ni kwamba hakuna mataifa yanayodhibiti habari na kutunga data feki Kama ya kikomunisti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…