We jamaa unapenda ubishani usio na faida, Jaribu kufanya research kwanza achana na stori za kijiweni
Most modern invention unazoziona nyingi zimetokea USA. Bell labs, Berkeley University, DARPA etc. Huko ndo teknolojia nyingi zimetoka, mfano tu ukija kwenye computing hizi transistors, early programming languages kama C/C++ (very important in modern computing) , architecture kama x86 (very fundamental in modern computing) imesukwa USA, Risc-V ni project ya pale Berkeley university, standard Os kernel kama UNIX imesukwa USA, wew huoni hata standard za communication nyingi kuanzia character encoding kama ASCII unatumia ni za USA, ukiingia kwenye upande wa networking project nyingi zimetoka US Defense Advanced Research Project Agency zilikuwa project zao za pale pale na networking ndo ilipotokea. Protocols kama TCP/IP, WEB e.t.c. Saivi dunia inaenda tena kushuhudia the most outstanding technological field ya Quantum Computing hii nayo ilitokea huko USA, sasa ntajie innovation gani ambazo wewe unaona chimbuko lake lilianza China? Honestly I hate USA na watu wake lakini kiukweli tukija kwenye teknolojia huezi kuwalinganisha na wachina hii ni upuuzi
Unaonekana UNA UGUMU WA KUELEWA.
Wacha nikupe mfano mmoja ndio utaelewa.
Hizo ndege za Boeing unazosifia muasisi ni Wilhelm Boeing ni Mjerumani ila alikimbilia USA.
Tunarudi pale pale USA wavumbuzi wake sio wa asili ya Amerika.
Bro note the point nayokwambia.
Ndio maana hata ukienda huko research centres zao hao USA utakutana na WAJERUMANI,WAISRAEL/WAYAHUDI,WAKOREA,WAJAPAN,WACHINA,WAHINDI.
Embu usiwe unakaza kichwa we jamaa.
Sawa USA ndio inatambulika imeasisi,je ASILI YA HAO WAASISI NI NATIVE AMERICANS!?
JIBU NI NO.
NDIO MAANA KAMA UMEWAHI KUFUATILIA KIPINDI CHA TRUMP KUNA WANAFUNZI WA ASILI YA CHINA WALIKAMATWA NA WAKAFUTIWA HADI URAIA WAKISHUTUMIWA WANAIBA TECH KWAAJILI YA KUPELEKA CHINA NA NI MA SPY WA CHINA.
Mwisho ninamaliza huu mjadala kwa kusema,China ana research centres zake hasubirii wazungu sasa hivi.
Inventions zilishafanywa sasa hivi zimebaki innovations.
Kuna mada alileta mkuu Xijinping kuhusu critical techs ambazo China anamkimbiza USA.
Ila nakusisitiza ukisema kuhusu INVENTION AND INNOVATIONS TOKA KARNE TUTARUDI ASILI YA ULAYA NA ASIA MASHARIKI YA MBALI.
Hata hizo research centre za USA WAVUMBUZI SIO NATIVE AMERICANS.
NARUDIA TENA HATA HAPO USA WAVUMBUZI SIO NATIVE AMERICANS.
Soma kwa kuelewa uelewe nini nazungumza.