Hizo stori za migahawa, kafanye research kwanza alafu ndo uanze kuongea sio eti "hata hizo research center wavumbuzi sio native Americans" unaongea kama mtu aliyekatwa kichwa mzee.
Alafu kitu kingine utambue, Marekani haina white population peke yake,hata hao whites unaowaona ukitrace asili yao ni Europe sasa nakushangaa unaposema muita mtu mchina just kwakuwa ana asili ya Asia, mtu kazaliwa USA, kasoma USA, na maisha yake yote kaishi USA alafu anafanya kazi research center USA wakiinvent kitu unasema Ooh sio native American hii ni nonsense ya kwanza alafu mzee aliyekwambia wachina, waisraeli, wajerumani ndo wamejazana research center za USA kuliko whites ni nani??? Fanya research kwanza usikurupuke mkuu
Unaingiza Boeing, sijazungumzia Boeing maana sina ufaham nazo katafute hizo nlizokuwekea mifano apo acha kujibu kwa mihemko