Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

Biashara na masikini mwenzake?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Kama mmedhibiti Taiwan mbona mpata tabu kwa TIktok? China ndio kinara duniani
Oya Mimi sitaki kubishana leo!
Nataka nijue hizi Mambo zinatoka wapi maana karibia kila mwenye smartphone anazo
Facebook, Google, android OS ,X zamani Twitter, linkendin na mziki wa hip hop🀣🀣
 
Bado uwezo mdogo. Bidhaa za Marekani ziatumika sana, sema ujui unatumiaje izi ni bidhaaa ambazo unatumia masaa 24.
Google
Android
Ios
ATM
Visa and master card
GPS
Opera, Google chrome
Kwa iyo America ni zaidi ya wewe uijuavyo
Itakuwa wamenogewa na bus za mikoani za Mchina sasa wanaanza kumpuuza Marekani
 
Biashara na masikini mwenzake?πŸ˜‚πŸ˜‚
Mabilionea wengi hupata utajiri Kwa maskini kama hujui Sababu ndio wengi

Mfano watengeneza simu wanajua population kubwa maskini duniani wanahakikisha wanatengeneza simu ambayo huyo maskini lazima anunue

Billy Gates billionea ataimba ohh Kuna nchi maskini duniani Lakini atahakikisha bidhaa zake za Microsoft word nk Kila mtoto nchi maskini atazipata kupitia computer anakosoma Chuo ambazo of course wanalipa hizo program au kwenye app ya simu kudownload nk
Usidanganywe kitu biashara na maskini inalipa

Bakhresa bilionea sehemu kubwa ya biashara yake ya lamba lamba wanunuzi maskini ila ni wengi

Pia madini na natural resources wanazonunua Bei che ili watajirike hununua Kwa nchi maskini.Hununua Kwa Bei watakayo Lakini wewe wakikuuzia wanakuuzia Kwa Bei watakayo wao

Biashara na maskini inalipa ndio maana China kajikita huko
 
Naona finally,umezama kwenye propaganda za US.Haya kila la kheri huko washington dc ulipo.
 
We jamaa unapenda ubishani usio na faida, Jaribu kufanya research kwanza achana na stori za kijiweni
Most modern invention unazoziona nyingi zimetokea USA. Bell labs, Berkeley University, DARPA etc. Huko ndo teknolojia nyingi zimetoka, mfano tu ukija kwenye computing hizi transistors, early programming languages kama C/C++ (very important in modern computing) , architecture kama x86 (very fundamental in modern computing) imesukwa USA, Risc-V ni project ya pale Berkeley university, standard Os kernel kama UNIX imesukwa USA, wew huoni hata standard za communication nyingi kuanzia character encoding kama ASCII unatumia ni za USA, ukiingia kwenye upande wa networking project nyingi zimetoka US Defense Advanced Research Project Agency zilikuwa project zao za pale pale na networking ndo ilipotokea. Protocols kama TCP/IP, WEB e.t.c. Saivi dunia inaenda tena kushuhudia the most outstanding technological field ya Quantum Computing hii nayo ilitokea huko USA, sasa ntajie innovation gani ambazo wewe unaona chimbuko lake lilianza China? Honestly I hate USA na watu wake lakini kiukweli tukija kwenye teknolojia huezi kuwalinganisha na wachina hii ni upuuzi
 
Hujui maana ya innovation
 
Sio rahisi hivyo Semiconductor ni technology ngumu kweli kweli bila R&D ya kutosha kufanikiwa inahitaji maajabu
Kama kwa sasa wapo kwa tofauti 7mn na 5nm unahitaji maajabu gani au wataanza from scratch
 
Unaonekana UNA UGUMU WA KUELEWA.
Wacha nikupe mfano mmoja ndio utaelewa.
Hizo ndege za Boeing unazosifia muasisi ni Wilhelm Boeing ni Mjerumani ila alikimbilia USA.
Tunarudi pale pale USA wavumbuzi wake sio wa asili ya Amerika.
Bro note the point nayokwambia.
Ndio maana hata ukienda huko research centres zao hao USA utakutana na WAJERUMANI,WAISRAEL/WAYAHUDI,WAKOREA,WAJAPAN,WACHINA,WAHINDI.
Embu usiwe unakaza kichwa we jamaa.
Sawa USA ndio inatambulika imeasisi,je ASILI YA HAO WAASISI NI NATIVE AMERICANS!?
JIBU NI NO.
NDIO MAANA KAMA UMEWAHI KUFUATILIA KIPINDI CHA TRUMP KUNA WANAFUNZI WA ASILI YA CHINA WALIKAMATWA NA WAKAFUTIWA HADI URAIA WAKISHUTUMIWA WANAIBA TECH KWAAJILI YA KUPELEKA CHINA NA NI MA SPY WA CHINA.
Mwisho ninamaliza huu mjadala kwa kusema,China ana research centres zake hasubirii wazungu sasa hivi.
Inventions zilishafanywa sasa hivi zimebaki innovations.
Kuna mada alileta mkuu Xijinping kuhusu critical techs ambazo China anamkimbiza USA.
Ila nakusisitiza ukisema kuhusu INVENTION AND INNOVATIONS TOKA KARNE TUTARUDI ASILI YA ULAYA NA ASIA MASHARIKI YA MBALI.
Hata hizo research centre za USA WAVUMBUZI SIO NATIVE AMERICANS.
NARUDIA TENA HATA HAPO USA WAVUMBUZI SIO NATIVE AMERICANS.
Soma kwa kuelewa uelewe nini nazungumza.
 
Hizo stori za migahawa, kafanye research kwanza alafu ndo uanze kuongea sio eti "hata hizo research center wavumbuzi sio native Americans" unaongea kama mtu aliyekatwa kichwa mzee.
Alafu kitu kingine utambue, Marekani haina white population peke yake,hata hao whites unaowaona ukitrace asili yao ni Europe sasa nakushangaa unaposema muita mtu mchina just kwakuwa ana asili ya Asia, mtu kazaliwa USA, kasoma USA, na maisha yake yote kaishi USA alafu anafanya kazi research center USA wakiinvent kitu unasema Ooh sio native American hii ni nonsense ya kwanza alafu mzee aliyekwambia wachina, waisraeli, wajerumani ndo wamejazana research center za USA kuliko whites ni nani??? Fanya research kwanza usikurupuke mkuu
Unaingiza Boeing, sijazungumzia Boeing maana sina ufaham nazo katafute hizo nlizokuwekea mifano apo acha kujibu kwa mihemko
 
Kabisa bro, watu wengi hapa wana zile stori za kwenye kahawa. Anavyoona mchina anatengeneza simu basi anahisi tayari mchina anateknolojia ya kumzidi mmarekani, Ushabiki tu
 
Nani
Kuna invention na innovation mkuu

Unaweza kufanya invention ukaja kuzidiwa na atakayekuja kufanya innovation

Vitu vingi vimefanyiwa invention Ulaya lakini mbona credit iende kwa USA ambaye amefanya innovation kama China
Nani kakwambia vitu vingi vimeanza Ulaya mkuu, Teknolojia kibao zimeanza USA
 
Kama watu wamebisha hadi hii comment yako, sioni haja ya kuendelea na huu mjadala!
Hii explanation iko very clear and niet
 
Haha

Hawana tofauti na Wahindi wanavyokumbilia Canada halafu wanasema uchumi wa India ni mkubwa kuliko Canada na hawataki kurudi Kwao.

Hoover Dam imejengwa 1931, China kajenga juzi bwawa lake watu wanaona China ana Tech

Wachina wanalilia USA kama hawana akili nzuri

HAKUNA WA KUMZIDI
 
Wabongo ushabiki kaka, unakuta mtu anakaza kichwa kabisa eti China wanateknolojia ya kumzidi USA na anakuja na data zake sijuwi kazizoa wapi, Aseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Marekani ukiondoa ubabe wa kishamba hana lolote. Power ya mmarekani ni dola yake ambayo inapata nguvu kwa kuchangiws na damu za watu wa mataifa mengine, maana pesa yako ikiimarika tu atatafuta kila mbinu kuingiza chockochocko hilo taifa mpaka izuke vita kama analivofanya iraq, libya na sasa urusi, briks ikiimarika lazima ajiharishie masna nusu ya population ya dunia watatumia briks. Atashindwa kuuza dola
 
Umeongea uongo mwingi mkuu.
USA wavumbuzi wake karibia wote wazungu hasa wa Germany.
Kumbe wewe kwako taifa la USA ni wale Wahindi Wekundu(Red Indians) tu ambao ndio wakazi wa asili wa Marekani!
 
Kwanini usijitosheleze kama hata pesa yenyewe una print tu haipewi sapoti na kitu chochote cha thamani
Hakuna pesa ya nchi yoyote duniani inayopewa sapoti na kitu chochote cha thamani kwa sasa.
 
Kina Steve, walienda kule sababu ya Cheap labour tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…