Hivi mkeo ukikutana naye njiani ukahisi anaenda kuchepuka unaweza ukamrudisha?

Hivi mkeo ukikutana naye njiani ukahisi anaenda kuchepuka unaweza ukamrudisha?

Akili zangu za jana nilikua nasema nikiwa na mke wangu

nikagundua kachepuka/kaliwa basi namuacha hapo hapo

ila sasa hivi ntamuacha mke wangu kwa mengine ila sio

eti nigundue kaliwa/kachepuka hiyo kwa sasa si sababu.
Kwa hyo wew unahalalisha uzinz ??
 
Umenikumbusha nilikuwa na mpenzi nikikutana nae ghafla njian akaona nimependeza ananirudisha nyumbani kwanin umependeza hivyo unaenda wapiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Rudisha fito home haraka, ukifika nakutafuna kwanza 😅😅😅
 
Umenikumbusha nilikuwa na mpenzi nikikutana nae ghafla njian akaona nimependeza ananirudisha nyumbani kwanin umependeza hivyo unaenda wapiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa ni mwamba sana yani,,,hizo akili zangu kabisa sema hii tamu uwe na kademu kapole pole kenye heshima na aibu!

Ukipata guberi linaweza likakukazia na dharau juu ukaona wacha yaishe tu nenda uendako!
 
Nilikuwaga narudi au tunaenda anapoenda yeye
 
Nilikuwaga narudi au tunaenda anapoenda yeye
Hahahahah huyo ni lijendi! Sema unaonekana ulikuwa na adabu sana yani, mijanamke ya sikuhizi ana safari yake umuingilie si unatafuta ugomvi! 😅!
Hapo ndio kesi ya kuambiwa hujiamini itakapoanza wakati lenyewe linaenda kukuchiti laivu laivu!
 
Sio katoka!! anaenda!! soma vzuruz ndo ucoment
umesahau ulichoandika.......baada masaa manne amerudi nyumban akiwa na viashiria vyote kuwa katoka kumegwa......point yako si ndo ilikua hiyo?

ndo nahitaji ueleze viashiria ulivoviona vilikupa hyo sense ya kwamba wife katafunwa?
 
Heading umeielewaje??? comment kulingana na matakwa ya heading
 
Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezini, nilipoamua nirudi nyumbani kwenye kona fulani hivi nikakutana na wife tukapeana salamu baadae akaendelea na mishe zake, ila moyo nikawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa, lakini nilishindwa kumrudisha.

Nilipofika home nilisubiri takribani masaa manne ndio akarudi na alionesha dalili zote za kuliwa. Swali langu ni je, ningemrudisha tulipokutana? na ningetumia kigezo gani?

Karibuni.
... ungemuambia twende nyumbani nikakuage kwanza ndio uendelee na safari zako.. akifika mkifungua tu mlango wa sebuleni unamdakia palepale na shuruti mbususu inaanza. ukihakikisha kalegea nguvu zimeisha unamuambia aya safari njema mimi naingia ndani kupumzika.
 
Sas utakuwa umetatua tatzo??
 
Kisa hik ni cha kwel kabisa!!Mkuu hata skumuuliza kuwa anaenda wap!!! si unajua kuwa ukimuuliza utaonekana kama unamfuatilia na kumchunguza chunguza,,, ila baada ya kuachana nae ndo akil akanijia kuwa ningemuuliza,lakn nilikuwa nshachelewa,na nilibak na hasira zangu tu!!
Ni ishara zipi zilizokufanya uone ameliwa?
 
We jamaa yani mke wako anatoka nyumbani Masaa manne bila kukuaga ,aya umekutana nae umeshindwa ata kumuuliza anaenda wapi!?

Acha ugongewe.

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom