Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hyo wew unahalalisha uzinz ??Akili zangu za jana nilikua nasema nikiwa na mke wangu
nikagundua kachepuka/kaliwa basi namuacha hapo hapo
ila sasa hivi ntamuacha mke wangu kwa mengine ila sio
eti nigundue kaliwa/kachepuka hiyo kwa sasa si sababu.
Rudisha fito home haraka, ukifika nakutafuna kwanza 😅😅😅Umenikumbusha nilikuwa na mpenzi nikikutana nae ghafla njian akaona nimependeza ananirudisha nyumbani kwanin umependeza hivyo unaenda wapiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa ni mwamba sana yani,,,hizo akili zangu kabisa sema hii tamu uwe na kademu kapole pole kenye heshima na aibu!Umenikumbusha nilikuwa na mpenzi nikikutana nae ghafla njian akaona nimependeza ananirudisha nyumbani kwanin umependeza hivyo unaenda wapiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwaga narudi au tunaenda anapoenda yeyeJamaa ni mwamba sana yani,,,hizo akili zangu kabisa sema hii tamu uwe na kademu kapole pole kenye heshima na aibu!
Ukipata guberi linaweza likakukazia na dharau juu ukaona wacha yaishe tu nenda uendako!
Hahahahah huyo ni lijendi! Sema unaonekana ulikuwa na adabu sana yani, mijanamke ya sikuhizi ana safari yake umuingilie si unatafuta ugomvi! 😅!Nilikuwaga narudi au tunaenda anapoenda yeye
umesahau ulichoandika.......baada masaa manne amerudi nyumban akiwa na viashiria vyote kuwa katoka kumegwa......point yako si ndo ilikua hiyo?Sio katoka!! anaenda!! soma vzuruz ndo ucoment
Heading umeielewaje??? comment kulingana na matakwa ya headingumesahau ulichoandika.......baada masaa manne amerudi nyumban akiwa na viashiria vyote kuwa katoka kumegwa......point yako si ndo ilikua hiyo?
ndo nahitaji ueleze viashiria ulivoviona vilikupa hyo sense ya kwamba wife katafunwa?
... ungemuambia twende nyumbani nikakuage kwanza ndio uendelee na safari zako.. akifika mkifungua tu mlango wa sebuleni unamdakia palepale na shuruti mbususu inaanza. ukihakikisha kalegea nguvu zimeisha unamuambia aya safari njema mimi naingia ndani kupumzika.Siku ya jana mida ya saa saba mchana nilikuwa matembezini, nilipoamua nirudi nyumbani kwenye kona fulani hivi nikakutana na wife tukapeana salamu baadae akaendelea na mishe zake, ila moyo nikawa nafkiria kuwa ameenda kuliwa, lakini nilishindwa kumrudisha.
Nilipofika home nilisubiri takribani masaa manne ndio akarudi na alionesha dalili zote za kuliwa. Swali langu ni je, ningemrudisha tulipokutana? na ningetumia kigezo gani?
Karibuni.
Sas utakuwa umetatua tatzo??... ungemuambia twende nyumbani nikakuage kwanza ndio uendelee na safari zako.. akifika mkifungua tu mlango wa sebuleni unamdakia palepale na shuruti mbususu inaanza. ukihakikisha kalegea nguvu zimeisha unamuambia aya safari njema mimi naingia ndani kupumzika.
Ni ishara zipi zilizokufanya uone ameliwa?Kisa hik ni cha kwel kabisa!!Mkuu hata skumuuliza kuwa anaenda wap!!! si unajua kuwa ukimuuliza utaonekana kama unamfuatilia na kumchunguza chunguza,,, ila baada ya kuachana nae ndo akil akanijia kuwa ningemuuliza,lakn nilikuwa nshachelewa,na nilibak na hasira zangu tu!!