Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

Kila tarehe 30 except February nampa 500K tusijuane isipokuwa mchele na mahindi

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Huu ndiyo utaratibu mzuri kumuachia 500k kwa mwezi , maana mahitaji ya week akinunua vitu vya laki kila week mwezi anatoboa,na kuwepo na mchele, mafuta, unga na sukari basi kwa hiyo budget anatoboa na anavuka mwezi kwa kishindo,
 
200k-300k kwa mwezi

Unga,mafuta,Gas,mchele juu yangu

Ila kuna kipindi wakati namuoa sikuwa na uweZo huo hivyo nilikuwa natoa 150k na siongezi hata sh kumi plus unga,mchele,mafuta na gas.

Mpe mkeo mahitaji kulingana na uchumi wako unavyokwenda.

Awali ma mkwe nilikuwa nampa 50k na ba mkwe 80k kwa mwezi ila now ma mkwe 100k na ba mkwe 150k.

Kama mkeo hakupi stress na hela unatafuta vzr basi hakikisha uchumi ukipanda na watu wa karibu wananufaika maana pesa zipo zitumiwe tu.
Mkuu kila mwezi unatoa pesa kwa familia ya ukweni.

Sinw mwmlaka na pesa ysko samahani ila huo utaratibu sio mzuri.

Kama vipi mkuu komaa wajifungulie japo kamradi waejdeshe maisha yao kuliko kuwapa kila mwezi shin kadhaa
 
Huu ndiyo utaratibu mzuri kumuachia 500k kwa mwezi , maana mahitaji ya week akinunua vitu vya laki kila week mwezi anatoboa,na kuwepo na mchele, mafuta, unga na sukari basi kwa hiyo budget anatoboa na anavuka mwezi kwa kishindo,
Mimi ningelikuwa na uwezo hata 1M kwa mwezi namuachia ya matumizi,maana wife wangu sio mfujaji pesa.
 
Sana sana ikiwa na mabinamu! full kuchakata mbususu!
[emoji23][emoji23]
Natania tu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwetu enzi hizo yaani tulikuwa tunaishi na masela kibao hadi raha,tulikiwa hatufanyi kazi wanafanya wao yaani,now kila mmoja kashaoa nawengine wanasaka chapaa bado

Sasa shida kutumwa kwa mademu aisee hii kitu nilikuwa naichukia kweli,walikuwa hawanipendi[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
200k-300k kwa mwezi

Unga,mafuta,Gas,mchele juu yangu

Ila kuna kipindi wakati namuoa sikuwa na uweZo huo hivyo nilikuwa natoa 150k na siongezi hata sh kumi plus unga,mchele,mafuta na gas.

Mpe mkeo mahitaji kulingana na uchumi wako unavyokwenda.

Awali ma mkwe nilikuwa nampa 50k na ba mkwe 80k kwa mwezi ila now ma mkwe 100k na ba mkwe 150k.

Kama mkeo hakupi stress na hela unatafuta vzr basi hakikisha uchumi ukipanda na watu wa karibu wananufaika maana pesa zipo zitumiwe tu.
Babako na mamako unawapa sh ngap?
 
Nimeona hapo hitaji la Baba mkwe na mama mkwe, sijaona hitaji la wazazi wako mke asikushike masikio sana hivyo
 
Familia yangu ni kubwa kidogo(watu 9), zamani ikikuwa ni 15, ula sikuhizi naweza acha 25K au 20K kutokana na wanachotaka kuandaa( chai, cha mchana na usiku)

MAISHA yakikaza tunakoelea tutaanza kula tembele😀.
We utakuwa ni msukuma..
# Mjomba ni mama
 
Back
Top Bottom