Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
- Thread starter
- #41
Sana sana ikiwa na mabinamu! full kuchakata mbususu!
[emoji23][emoji23]
Natania tu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana sana ikiwa na mabinamu! full kuchakata mbususu!
Huu ndiyo utaratibu mzuri kumuachia 500k kwa mwezi , maana mahitaji ya week akinunua vitu vya laki kila week mwezi anatoboa,na kuwepo na mchele, mafuta, unga na sukari basi kwa hiyo budget anatoboa na anavuka mwezi kwa kishindo,Kila tarehe 30 except February nampa 500K tusijuane isipokuwa mchele na mahindi
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Mkuu kila mwezi unatoa pesa kwa familia ya ukweni.200k-300k kwa mwezi
Unga,mafuta,Gas,mchele juu yangu
Ila kuna kipindi wakati namuoa sikuwa na uweZo huo hivyo nilikuwa natoa 150k na siongezi hata sh kumi plus unga,mchele,mafuta na gas.
Mpe mkeo mahitaji kulingana na uchumi wako unavyokwenda.
Awali ma mkwe nilikuwa nampa 50k na ba mkwe 80k kwa mwezi ila now ma mkwe 100k na ba mkwe 150k.
Kama mkeo hakupi stress na hela unatafuta vzr basi hakikisha uchumi ukipanda na watu wa karibu wananufaika maana pesa zipo zitumiwe tu.
Mimi ningelikuwa na uwezo hata 1M kwa mwezi namuachia ya matumizi,maana wife wangu sio mfujaji pesa.Huu ndiyo utaratibu mzuri kumuachia 500k kwa mwezi , maana mahitaji ya week akinunua vitu vya laki kila week mwezi anatoboa,na kuwepo na mchele, mafuta, unga na sukari basi kwa hiyo budget anatoboa na anavuka mwezi kwa kishindo,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwetu enzi hizo yaani tulikuwa tunaishi na masela kibao hadi raha,tulikiwa hatufanyi kazi wanafanya wao yaani,now kila mmoja kashaoa nawengine wanasaka chapaa badoSana sana ikiwa na mabinamu! full kuchakata mbususu!
[emoji23][emoji23]
Natania tu!!
Wewe au??Kwasisi tusioeleweka mpaka turudi jioni ndiyo tunakuwa na kamfuko ambako hako hako ndiyo kataanzisha maisha asubuhi mpaka jioni tena............
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimwachie ya Nini wakati yeye ana uchumi ameukalia, kila mtu ale ofisini kwakwe .
Babako na mamako unawapa sh ngap?200k-300k kwa mwezi
Unga,mafuta,Gas,mchele juu yangu
Ila kuna kipindi wakati namuoa sikuwa na uweZo huo hivyo nilikuwa natoa 150k na siongezi hata sh kumi plus unga,mchele,mafuta na gas.
Mpe mkeo mahitaji kulingana na uchumi wako unavyokwenda.
Awali ma mkwe nilikuwa nampa 50k na ba mkwe 80k kwa mwezi ila now ma mkwe 100k na ba mkwe 150k.
Kama mkeo hakupi stress na hela unatafuta vzr basi hakikisha uchumi ukipanda na watu wa karibu wananufaika maana pesa zipo zitumiwe tu.
Utapigwa tena ban ukiendelea na majibu ya kikomunist kama haya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]buku 2 tu tunaishi kama China[emoji28]
Nimeona hapo hitaji la Baba mkwe na mama mkwe, sijaona hitaji la wazazi wako mke asikushike masikio sana hivyo200k-300k kwa mwezi
Unga,mafuta,Gas,mchele juu yangu
Ila kuna kipindi wakati namuoa sikuwa na uweZo huo hivyo nilikuwa natoa 150k na siongezi hata sh kumi plus unga,mchele,mafuta na gas.
Mpe mkeo mahitaji kulingana na uchumi wako unavyokwenda.
Awali ma mkwe nilikuwa nampa 50k na ba mkwe 80k kwa mwezi ila now ma mkwe 100k na ba mkwe 150k.
Kama mkeo hakupi stress na hela unatafuta vzr basi hakikisha uchumi ukipanda na watu wa karibu wananufaika maana pesa zipo zitumiwe tu.
Huyo siyo mwenzetu tena, ashawekwa kiganjani!Nimeona hapo hitaji la Baba mkwe na mama mkwe, sijaona hitaji la wazazi wako mke asikushike masikio sana hivyo
Huba limemkolea, ataenda kujenga na ukweni baadae akili zitamrudiHuyo siyo mwenzetu tena, ashawekwa kiganjani!
Wanawake wa kichaga sio watu wazuri!!
Ndiyo
We utakuwa ni msukuma..Familia yangu ni kubwa kidogo(watu 9), zamani ikikuwa ni 15, ula sikuhizi naweza acha 25K au 20K kutokana na wanachotaka kuandaa( chai, cha mchana na usiku)
MAISHA yakikaza tunakoelea tutaanza kula tembele😀.
Ngoja nianzishe gengeBora hata huyu anaacha buku mbili, kuna wengine hawaachi hata Mia.
Akirudi jioni anataka akute msosi mezani.
Mtasaidiwa sana na vijana wa genge.