Kwanza kwani kuna ajabu gani ?? Katika maisha kuna "ups and downs" ukijua hilo maisha hayatakusumbua na hautosumbuka sana Kwenda kwa masangoma !!Ilishawahi kutokea hata kwa mojawapo ya walinzi wa Mkapa alienda kuwa mlinzi wa spika sita. Watoto wadogo hamjui haya mambo. Ulinzi kazi ya kawaida sana haina uspesho wowote
Kwa uzi huu ulioanzisha Leo nakiri rasmi wafuasi wa Jiwe na Jiwe wenu mmejaa ushamba, ujinga na kukosa exposure kwa kiwango cha juu kabisaKama ni kweli wale tulio kwenye ulinzi jiuzuluni tafadhali sanaaa huyo hapo chini alikuwa mlinzi wa Magufuli sasahivi ni mlinzi wa Naibu spika?View attachment 2135563
KarmaVijana wa ilala watakosaje kazi.
Huyu naibu supika naye mbona kajizeekea kuliko hata Mamndenyi
Pia tunaona as they know more about lateWhatever tutasema, top officials wa level yake kuwe na namna nyingine ya kuwatumia! Hao jamii imeshawaona kama alama maalum ya kimamlaka, ni vizuri ikiangaliwa kwa jicho tofauti.
Chifu elimu siyo sababu hata kidogo......Tulia (PhD) alikuwa msaidizi wa Ndugai ambaye hana hiyo PhDElimu ya tulia ipo juu kijana
lkn pia zungu ni mzee sana
Alitaka aende akalinde kaburi la Magufuli?So ulitaka akae bila kazi..?
Acha ushamba wa kiboya ndugu unakuwa unaakili Kama za ng'ombe bhana! Tumia kichwa yako vizuri
Ndugai alikutwa kwenye kiti tayariChifu elimu siyo sababu hata kidogo......Tulia (PhD) alikuwa msaidizi wa Ndugai ambaye hana hiyo PhD
Hiyo picha ina details nyingi sana... Na ma Alhaji wapo wengi. Hivyo si kila mtu atatafsiri kama unavyotarajia.Kwani Alhaji humjui mkuu?
Wapo Chattlo Bado wanalinda Kaburi. Alhaji amepelekwa Kwa Mda Tu Ila atapangiwa kuwa RSO Siku Sio nyingiKuna watu humu hawajui kuwa kazi ya ulinzi wa viongozi ni kazi kama kazi nyingine yoyote na mlinzi wa kiongozi ni mlinzi tuu kama mlinzi mwingine yeyote, kiongozi mmoja akifa, mlinzi wake anapangiwa kazi ya ulinzi kwa kiongozi mwingine yeyote.
Kuna watu walitamani hao walinzi waendelee kumlinda kwa kulinda kaburi lake pale Chato.
Na sio mlinzi tuu anapangiwa, hata wasaidizi wake wote wanapangiwa kwa wengine.
Tena tushukuru sana modern civilization, tunge stick kwenye zile traditional zetu za asili kabisa, hata ... ingebidi na yeye ... so that life goes on.
Ila pia kiukweli humu jf tuna members.. na members, members wengine wa ajabu...
P
Kwani wewe unatakaje? Walinzi wa Jiwe hawawezi kuwa walinzi wa SSH.Kama ni kweli wale tulio kwenye ulinzi jiuzuluni tafadhali sanaaa huyo hapo chini alikuwa mlinzi wa Magufuli sasahivi ni mlinzi wa Naibu spika?View attachment 2135563
Mbwa ni wewe kolo,mlimzi ni mlimzi tuu anaweza pangiwa hata kulinda gereza.We ni Mbwa tu hujui maana ya mlinzi wa raisi
Big black Sebastian Kwa Sasa ni RSOAh kaka mkubwa mambo ya traditions tena!
Big black yeye amepangiwa wapi saiv jameni?
Tena anaweza pangiwa kunilinda na mimi naposafirisha mpunga wanguWatu mna roho mbaya sana. Huyo ni mtumishi wa umma hivyo anaweza kutumika popote pale serikali itakapomtaka. Jambo zuri ni kwamba bado yuko kwenye utumishi, kwamba hakutupwa nje.
Mwenzake Seba Ni ZSO kanda Moja Hivi Nyanda za Juu KusiniTena bora kabaki hapa Tanzania kapangiwa hapo kwa naibu spika atakuwa anapata japo chochote ila kwa level aliyofikia ni vyema wangempa hata u RSO kama baba yake Pascal Mayalla hata ukuu wa kanda..
Kweli kabisa mjengo wake wa maana umetulia uko barabaraniHao watu pesa za kujenga sio tatizo kwao, per diem za ziko juu enzi zile za hayati
Nishazoea huu mwendo Sasa.πMdogo mdogo basi kha...!
Tuone picha ya Seba ππ