evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Hiyo mbona sawa tu hata mimi nina mwanamke ila sio mke wangu.kUiga tembo kunya utapasuka msamba huwezi jua wazee wetu wana mbinu nyingi
Hata kama hajaoa
sio lazima ajionyeshe kwenu atawavunjia heshima
Jua bi mdogo wenu yupo
Kataa ila ukweli ndio huo
Kaka pole sana, ujue ni tofaut na mnavyojidanganyaga hapa jukwaani, huku mtaani ndoa ni nyiing mnoooooooooo sema tu ndio vile hamna connection za kupata hizo info, ila tuulizen sisi wachangaji, tunatoa michango mpaka tunakereka, ndoa ni nying sana..sema kwakua wewe ni kataa ndoa hiz habar you will never come across with..Unajuaje hawatunzi? Kuoa ni ushamba flani hivi wa kizamani ni jambo ambalo linaanza kupitwa na wakati .
Cha muhimu sasa ni kuzaa watoto kuwatunza basi inatosha .
Kuoa ni ujinga tu flani.
Ndio maana ni muda mrefu sichangiagi sherehe za harusi hata za ndugu na marafiki
Kaka pole sana, ujue ni tofaut na mnavyojidanganyaga hapa jukwaani, huku mtaani ndoa ni nyiing mnoooooooooo sema tu ndio vile hamna connection za kupata hizo info, ila tuulizen sisi wachangaji, tunatoa michango mpaka tunakereka, ndoa ni nying sana..sema kwakua wewe ni kataa ndoa hiz habar you will never come across with..
Watu waoana ile mbaya huku mitaani. Yan jambo ameli asisi Sir God mwenyewe, mnafikir linaweza kupotezwa kirahis rahis namna hiyo?? Halitakaa kooitwa na wakat.
Kwa taarifa yako sasa, tunavyokaribia mwishi wa dunia, man mmoja ataoa mpaka wanawale 7 kwa ndoa😂😂
Wewe tayari ni mwanaume kamilii lo unahudumia na kutimiza majukumu yote !
Uje uangalie mipira nyumbani...Wewe tayari ni mwanaume kamilii lo unahudumia na kutimiza majukumu yote !
Barikiwa sana
Achana na wanasiasa hao, yeye mwenyewe kaolewa tena kaolewa mitala.Acha uongo Rais mwenyewe alishakiri suala la vijana kutokuoana acha uongo sasahivi watu hawaoi sanasana labda wale wa kuvutana kihuni kwenye chumba kimoja miezi 2 wanaachana
Soma mwenyewe hapo chini.
Kwa kifupi ndoa ni ushamba cha msingi zaa watoto .
Yaani eti nijifunge kwa mwanamke mmoja eti mke si ujinga huo wakati mademu kibao wanaeleweka tena wazuri.
Yaani uanze kukabwakabwa upo wapi sijui nini , ufala na ulimbukine
Mtu ushindwe hata kulala hotels na watoto wazuri kisa una mke .
Rais Samia: Vijana hawaoi na wala kuolewa kuna tatizo kwenye jamii ya kitanzania
Rais Samia Hassan ameyazungumza hayo leo katika hafla ya kusimikwa rasmi mkuu wa kanisa la KKKT Askofu Dkt Alex Malasusa katika kanisa la Azania front jijini Dar es Salaam Rais Samia ameshangazwa kwanini tatizo la vijana kutokuoa au kuolewa linaongezeka nchini Tanzania wakati vijana wamefikia...www.jamiiforums.com
wanawapoteza watu.Achana na wanasiasa hao, yeye mwenyewe kaolewa tena kaolewa mitala.
On my way there lo nakuja tuangalie tubabet mapema nikikufunga kam kauwaaa usiku nakucontrol ukinifunga same applies!Uje uangalie mipira nyumbani...
Achana na wanasiasa hao, yeye mwenyewe kaolewa tena kaolewa mitala.
SAsa unafikiri kati ya samia na mimi, nani yuko mtaani zaidi?Kwa hiyo unataka kutudanganya kati ya wewe na taasisi ya urais ipi ipo sahihi kwenye takwimu za ndoa?
Acha kushupalia shingo kwa sasa vijana wengi wana opt kupata watoto tu na sio kuoa.
Ndo kwa sasa ni chache sana kama ni mkristu RC nenda kanisani kunaweza pita jumapili hata 4 bila ya tangazo la ndoa .
Ndoa ni ujinga mtupu cha msingi mtu uzae watoto na uwatunze basi inatosha
Mimi si bet na i will always control you...On my way there lo nakuja tuangalie tubabet mapema nikikufunga kam kauwaaa usiku nakucontrol ukinifunga same applies!
Awwwwwwww🤸♀️💃🕺!Mimi si bet na i will always control you...
Rais yupo.mtaani kulipo wewe kwenye ofisi zote za mitaa Tanzania nzima na ofisizote za vijiji tanzania nzima kuna ofisi ya serikali ambayo inamwakilisha rais.SAsa unafikiri kati ya samia na mimi, nani yuko mtaani zaidi?
Kati ya wewe mwanaume mwenye ndoa yako halafu bahati mbaya huna mtoto mwaka wa 5 katika ndoa na msela tu wa kitaa ambaye hana ndoa ila ana mtoto wake kasusiwa na mama mtoto anamtunza mwenyewe bila mke nani ni mwanaume hapo?Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time, majukumu ya utafutaji yanakuandama, kitanda plus ada za watoto zinakusubiri.
Lakini mwanaume unatoboa kwa namna yeyote,hivi inakuwaje kijana unayopesa ya kuoa na hujaoa mpaka sasa? Halafu unajiita mwanaume?
Mashoga ndiyo wanakimbia majukumu ya uanaume.
OA
AyaMwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time, majukumu ya utafutaji yanakuandama, kitanda plus ada za watoto zinakusubiri.
Lakini mwanaume unatoboa kwa namna yeyote,hivi inakuwaje kijana unayopesa ya kuoa na hujaoa mpaka sasa? Halafu unajiita mwanaume?
Mashoga ndiyo wanakimbia majukumu ya uanaume.
OA
Hongera Sana,mi bado sanaAlikua mmoja n expecting the next.. mimi bwana 21 yrs mwaka wa kwanza tu chuoni mtoto wa kwanza 😂
Ndoa nyingi ila talaka ndio nyingi zaidi!Kaka pole sana, ujue ni tofaut na mnavyojidanganyaga hapa jukwaani, huku mtaani ndoa ni nyiing mnoooooooooo sema tu ndio vile hamna connection za kupata hizo info, ila tuulizen sisi wachangaji, tunatoa michango mpaka tunakereka, ndoa ni nying sana..sema kwakua wewe ni kataa ndoa hiz habar you will never come across with..
Watu waoana ile mbaya huku mitaani. Yan jambo ameli asisi Sir God mwenyewe, mnafikir linaweza kupotezwa kirahis rahis namna hiyo?? Halitakaa kooitwa na wakat.
Kwa taarifa yako sasa, tunavyokaribia mwishi wa dunia, man mmoja ataoa mpaka wanawale 7 kwa ndoa[emoji23][emoji23]