kUiga tembo kunya utapasuka msamba huwezi jua wazee wetu wana mbinu nyingi
Hata kama hajaoa
sio lazima ajionyeshe kwenu atawavunjia heshima
Jua bi mdogo wenu yupo
Kataa ila ukweli ndio huo
Unajuaje hawatunzi? Kuoa ni ushamba flani hivi wa kizamani ni jambo ambalo linaanza kupitwa na wakati .
Cha muhimu sasa ni kuzaa watoto kuwatunza basi inatosha .
Kuoa ni ujinga tu flani.
Ndio maana ni muda mrefu sichangiagi sherehe za harusi hata za ndugu na marafiki
Kaka pole sana, ujue ni tofaut na mnavyojidanganyaga hapa jukwaani, huku mtaani ndoa ni nyiing mnoooooooooo sema tu ndio vile hamna connection za kupata hizo info, ila tuulizen sisi wachangaji, tunatoa michango mpaka tunakereka, ndoa ni nying sana..sema kwakua wewe ni kataa ndoa hiz habar you will never come across with..
Watu waoana ile mbaya huku mitaani. Yan jambo ameli asisi Sir God mwenyewe, mnafikir linaweza kupotezwa kirahis rahis namna hiyo?? Halitakaa kooitwa na wakat.
Kwa taarifa yako sasa, tunavyokaribia mwishi wa dunia, man mmoja ataoa mpaka wanawale 7 kwa ndoa😂😂
Hivi kwa mfano mtu yupo kwenye ndoa ana miaka 5 lakini hana mtoto na wewe ni bachelor upo kitaa una lea watoto wako 2 unawatunza lakini huna mke.
Kati ya hao 2 nani anaonekana mwanaume kwenye jamii?
Kaka pole sana, ujue ni tofaut na mnavyojidanganyaga hapa jukwaani, huku mtaani ndoa ni nyiing mnoooooooooo sema tu ndio vile hamna connection za kupata hizo info, ila tuulizen sisi wachangaji, tunatoa michango mpaka tunakereka, ndoa ni nying sana..sema kwakua wewe ni kataa ndoa hiz habar you will never come across with..
Watu waoana ile mbaya huku mitaani. Yan jambo ameli asisi Sir God mwenyewe, mnafikir linaweza kupotezwa kirahis rahis namna hiyo?? Halitakaa kooitwa na wakat.
Kwa taarifa yako sasa, tunavyokaribia mwishi wa dunia, man mmoja ataoa mpaka wanawale 7 kwa ndoa😂😂
Acha uongo Rais mwenyewe alishakiri suala la vijana kutokuoana acha uongo sasahivi watu hawaoi sanasana labda wale wa kuvutana kihuni kwenye chumba kimoja miezi 2 wanaachana
Soma mwenyewe hapo chini.
Kwa kifupi ndoa ni ushamba cha msingi zaa watoto .
Yaani eti nijifunge kwa mwanamke mmoja eti mke si ujinga huo wakati mademu kibao wanaeleweka tena wazuri.
Yaani uanze kukabwakabwa upo wapi sijui nini , ufala na ulimbukine
Mtu ushindwe hata kulala hotels na watoto wazuri kisa una mke .
Rais Samia Hassan ameyazungumza hayo leo katika hafla ya kusimikwa rasmi mkuu wa kanisa la KKKT Askofu Dkt Alex Malasusa katika kanisa la Azania front jijini Dar es Salaam Rais Samia ameshangazwa kwanini tatizo la vijana kutokuoa au kuolewa linaongezeka nchini Tanzania wakati vijana wamefikia...

Kwa hiyo unataka kutudanganya kati ya wewe na taasisi ya urais ipi ipo sahihi kwenye takwimu za ndoa?
Acha kushupalia shingo kwa sasa vijana wengi wana opt kupata watoto tu na sio kuoa.
Ndo kwa sasa ni chache sana kama ni mkristu RC nenda kanisani kunaweza pita jumapili hata 4 bila ya tangazo la ndoa .
Ndoa ni ujinga mtupu cha msingi mtu uzae watoto na uwatunze basi inatosha

Rais yupo.mtaani kulipo wewe kwenye ofisi zote za mitaa Tanzania nzima na ofisizote za vijiji tanzania nzima kuna ofisi ya serikali ambayo inamwakilisha rais.
Sasa kati yako wewe na taasisi ya urais nani yupo mtaani zaidi?
Acha ubishi Taasisi ya urais ina taarifa nyingi hata za mtaani kwako ambazo labda hata wewe huzijui ila rais anazijua
Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time, majukumu ya utafutaji yanakuandama, kitanda plus ada za watoto zinakusubiri.
Lakini mwanaume unatoboa kwa namna yeyote,hivi inakuwaje kijana unayopesa ya kuoa na hujaoa mpaka sasa? Halafu unajiita mwanaume?
Kati ya wewe mwanaume mwenye ndoa yako halafu bahati mbaya huna mtoto mwaka wa 5 katika ndoa na msela tu wa kitaa ambaye hana ndoa ila ana mtoto wake kasusiwa na mama mtoto anamtunza mwenyewe bila mke nani ni mwanaume hapo?
Uanaume sio kuoa UANAUME NI UWEZO WA KUMPATIA UJAUZITO mWANAMKE NA UWEZO WA KUMTUNZA MTOTO full stop ndoa ni ubadhilifu na ulaghai mtupu
Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time, majukumu ya utafutaji yanakuandama, kitanda plus ada za watoto zinakusubiri.
Lakini mwanaume unatoboa kwa namna yeyote,hivi inakuwaje kijana unayopesa ya kuoa na hujaoa mpaka sasa? Halafu unajiita mwanaume?
kuoa nyakati hizi ni upuuzi...halafu tunajua watu wengi wameoa na wana watoto ila pia na wao wanapakuliwa yaani mashoga
unaoa unazaa watoto huna mbele wala nyuma kwanini usipigwe miti upate hela mkeo na watoto wale wavae...YAANI NYIE MLIO KWENYE NDOA NDO MNAPAKULIWA SANA HUSUSAN KWENYE NYAKATI HIZI NGUMU KIUCHUMI
Kaka pole sana, ujue ni tofaut na mnavyojidanganyaga hapa jukwaani, huku mtaani ndoa ni nyiing mnoooooooooo sema tu ndio vile hamna connection za kupata hizo info, ila tuulizen sisi wachangaji, tunatoa michango mpaka tunakereka, ndoa ni nying sana..sema kwakua wewe ni kataa ndoa hiz habar you will never come across with..
Watu waoana ile mbaya huku mitaani. Yan jambo ameli asisi Sir God mwenyewe, mnafikir linaweza kupotezwa kirahis rahis namna hiyo?? Halitakaa kooitwa na wakat.
Kwa taarifa yako sasa, tunavyokaribia mwishi wa dunia, man mmoja ataoa mpaka wanawale 7 kwa ndoa[emoji23][emoji23]
Ndoa nyingi ila talaka ndio nyingi zaidi!
Unajua Dar es salaam tu kuna madai zaidi ya mia tatu (300) ya talaka kwa kila mwezi tena yakiongozwa na wanawake.
Ofisi ya takwinu inavyosema ndoa zimepungua sio wajinga miaka ya nyuma 2000- 2009 makanisa hasa rc hapa mjini yalikuwa yanatangaza ndoa zisizopungua 20 kila wikiendi ila kwa sasa ndoa 3 tu kutangaza ni mtihani.
Na hii sio Tanzania tu ni worldwide, kuoa sio ujanja tena hasa kwa kizazi hiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.