Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time, majukumu ya utafutaji yanakuandama, kitanda plus ada za watoto zinakusubiri.

Lakini mwanaume unatoboa kwa namna yeyote,hivi inakuwaje kijana unayopesa ya kuoa na hujaoa mpaka sasa? Halafu unajiita mwanaume?

Mashoga ndiyo wanakimbia majukumu ya uanaume.

OA
Stop Generalization...
1. Padre
2. Toashi
3.people with sex allergy
4.🤫
We can't be uniform....
 
Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time, majukumu ya utafutaji yanakuandama, kitanda plus ada za watoto zinakusubiri.

Lakini mwanaume unatoboa kwa namna yeyote,hivi inakuwaje kijana unayopesa ya kuoa na hujaoa mpaka sasa? Halafu unajiita mwanaume?

Mashoga ndiyo wanakimbia majukumu ya uanaume.

OA
KAMA SIO BIKRA USIOE
 
Sio kila mtu ana amini hayo mambo ya yesu na mtume , kiufupi sitaoa kwa mihemko ya watu kama nyie.
sawa,hakuna kufata mihemko ila kuna mambo ukiwa hujayafanya wakat fulani akf ukaja kuyafanya au kutokufanya kabisaa lazima tutie mushkeli na tutaona huyu jamaa hazipo sawa.
 
Huko uswahilini ,kajamba nani lazima watie shaka wengi hawana cha kufanya zaidi ya kuwaza wengine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom