Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

Kwani mtu akafanya malengo yake kwanza unapungukiwa na nini?
kuna changamoto byingi atakuna nazo zinaweza kumvunja moyo na akashindwa kufikia hayo malengo,lakini ukiwa na mwenza wako hili jambo linakuwa simple kabisa.

hivi unajua kwamba ndoa hukupatia baraka ya kipato n.k?
 
Hii dhana ya kuoa na kuja kusaidiana uzee from my experience kwa msure wangu mama alifariki kitambo miaka ya 90 hadi leo msure yupo hajaoa wala nini na mzee na yupo fresh
kUiga tembo kunya utapasuka msamba huwezi jua wazee wetu wana mbinu nyingi
Hata kama hajaoa
sio lazima ajionyeshe kwenu atawavunjia heshima
Jua bi mdogo wenu yupo
Kataa ila ukweli ndio huo
 
Challenge hazitafutwi isipokuwa zinakuja zenyewe automatically, Hivi unaanzaje kutafuta matatizo ili tu uaminishe watu kama wewe ni Mwanaume(kama unavyodai)?

Mtu una furaha na maisha yako lakin unaambiwa bado haitoshi ili uwe mwanaume kamili ni mpaka uoe, really!

Nyinyi mliopo kwenye ndoa mnapata faida ipi mpaka sasa kiasi kwamba ambae hajaoa hapati?
 
Back
Top Bottom