Hahaha shida gan? , nitaoa mipango yangu ikikamilika ila bado sioni shida hata kama mtu hatooa au kuolewa kabisa.shida tena kubwa mkuu
kwanza wa au tu...sipoa?
wewe hujaoa mkuu
Mnaenda Bigwa tena?Yanga bingwa tena.
Kuwa na watoto ambao hata hujui wanashindaje na huwatunzi kwa 100% bado sio majukumu tosha. Na hapo ukute una miaka 25 au zaid..Nina watoto wawili ,ni majukumu tosha😆
mkuu athari ni nyingi siwezi kukutajia coz zinaonekana.Hahaha shida gan? , nitaoa mipango yangu ikikamilika ila bado sioni shida hata kama mtu hatooa au kuolewa kabisa.
vizuriKuwa na watoto ambao hata hujui wanashindaje na huwatunzi kwa 100% bado sio majukumu tosha. Na hapo ukute una miaka 25 au zaid..
Wengine at 25 tayar tuna watoto na kuoa kwa ndoa tushaoa.
Umejuaje siwatunzi?🤣🤣🤣Kuwa na watoto ambao hata hujui wanashindaje na huwatunzi kwa 100% bado sio majukumu tosha. Na hapo ukute una miaka 25 au zaid..
Wengine at 25 tayar tuna watoto na kuoa kwa ndoa tushaoa.
Hahahahahamkuu athari ni nyingi siwezi kukutajia coz zinaonekana.
Yaani nipambane miaka yote niwe stable then nivute mjinga mmoja aniendeshe ndo nionekane mwanaume. Watu wajinga sana. Hongera mkuu kwa comment nzuri.Ni ujinga na upumbavu kwa kijana kukimbilia kuoa.
Umepambana usiku na mchana jitihada zako zimeanza kuzaa matunda, huo ni wakati wa kufurahia maisha peke yako kama ambavyo ulikua unatafuta peke yako.
ukiwa katika prime yako usifanye ujinga wa kumpa hifadhi kahaba mstaafu ambae ashachuja na katika prime yake alikufungia vioo.
Panga mipango ya maisha yako, wekeza, talii maeneo unayoyapenda, kula bata, tembeza mboo mjini, enjoy your prime kama ambavyo hao demaged women walivyoenjoy prime zao kabla hawajachuja na kuanza kufikiria kuolewa.
After you have enjoyed yourself enough noe you want to settle with one lady then go for an innocent and fresh woman.
Ahahahah.. na nimetumia neno hilo kwa makusudi.Umejuaje siwatunzi?🤣🤣🤣
Ila mkuu kwa nini nyie watu wa kwenye ndoa mnalalamika sie ambao hatujaoa ? Mnafanya hata tuwe wazito kuwasaidia ndugu na marafiki zetu walio kwenye ndoa pale wanapo kwama.vizuri
Ukiona unaendeshwa na mjinga, basi jua wewe binafsi hali yako ni mbaya zaid, ya imepitiliza kwenye ujinga wenyeweYaani nipambane miaka yote niwe stable then nivute mjinga mmoja aniendeshe ndo nionekane mwanaume. Watu wajinga sana. Hongera mkuu kwa comment nzuri.
Hahaha huwa mnafurahisha sanaAhahahah.. na nimetumia neno hilo kwa makusudi.
Nina uhakika unatuma pesa za mahitaji. But that is not kuwatunza in totality of 100%.
Nimesema huwatunzi kwakua am sure huna report zao za kila siku from day rising to day ending.. being there for whatever the circumstance they pass through.
And no wonder hao watoto ni kwa mama tofauti!... no offense, but you should have them all under your real care, not like this (if so/my speculation is true) , otherwise ,my applogies for accusations
Why and how so?Hahaha huwa mnafurahisha sana
Mkuu nitaoa nikifika 50 nikiona nina kila kitu ninachotamani niwe nacho ,kinyume na hapo sitaoa kabisa , unajua kila mtu ana malengo yake na mifumo yake ya maisha?Why and how so?
Vipi wenye ndoa halafu bado wanachovyachovya, wapo upande upi? Wanaume au wavulana?Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu,vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time,majukumu ya utafutaji yanakuandama,kitanda plus ada za watoto zinakusubiri.
Lakini mwanaume unatoboa kwa namna yeyote,hivi inakuwaje kijana unayopesa ya kuoa na hujaoa mpaka sasa?alafu unajiita mwanaume?
Mashoga ndiyo wanakimbia majukumu ya uanaume.
OA