Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

Mkuu, hadi nimeogopa! Kuna siku babe alitoka kazini amechoka ila akanipigia simu, alikuwa amechoka sana ila alinisikiliza story zangu kwa takribani dakika 20!

Ile siku nilitafakari nikajiona mwenye bahati sana, kweli nilizidi kumpenda!

Mungu aendelee kuwabariki wanaume wema, mpo wachache mno.
 
Mtu mzima anatakiwa atumaje sms
Mtafutie asubuhi mjulie hali ameamkaje,, ongea naye kidogo kuhusu ratiba yake hiyo siku ikoje.

Mchana mcheki muulize anaendeleaje,,

Halafu usiku mtafute muulize siku yake imeendaje kiujumla,, ( mchekeshe kidogo, hapa siwezi kukufundisha namna ya kumchekesha,, utajua mwenyewe)

Siku ambayo mpo free wote mnaweza Kutana na mkafanyiana michezo ya kila aina kuonyeshana mahaba.

NB. NI NGUMU KWA WAPENZI WANAOISHI LIFE STYLE YA AINA HIYO 👆 KUCHOKANA MAPEMA TOFAUTI NA NYIE WATOTO MNAOKESHA KUCHATI SIKU NZIMA AS IF HAMNA MAMBO MENGINE YA KUFANYA.
 
Context kwako ngumu sana

Tunataka kuona huko kimchekesha kwenye chatting
 
Context kwako ngumu sana

Tunataka kuona huko kimchekesha kwenye chatting
Kama upo kwa ajili ya kubishana, me sipo kwa ajili hiyo, kama unahitaji kuona huko kumchekesha kwenye chatting, tayari nimeshakujibu kwenye reply ya mwanzo.

Nimekujibu nikakwambia kuhusu mamna ya kumchekesha mwanamke wako, sitokufundisha ( pambana na hali yako/Fight your situation.
 
Inaboa sana kila saa mtu kutuma mimeseji mara apige.
 
Asante
 
Mbona kwenye hoja ya mkwanza umeweka mfano wa sms si wewe, then hapa tena ukiulizwa mfano wa sms unaita ubishi na blah blah.....BOSS UP NIGA.
 
Mbona kwenye hoja ya mkwanza umeweka mfano wa sms si wewe, then hapa tena ukiulizwa mfano wa sms unaita ubishi na blah blah.....BOSS UP NIGA.
Elewa content niliyokueleza hapo, mambo ya mfano wa sms acha kujisumbua kuniuliza maana siwezi kukujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…