Onesha mfano hio sms ya kumchesha alafu uwone kama watu wajaiona yakijinga na kitotoElewa content niliyokueleza hapo, mambo ya mfano wa sms acha kujisumbua kuniuliza maana siwezi kukujibu.
Habeeb ni mwanaume kwa kiarabu,Ndio nani?
Soma HEADING ya huu uzi halafu rudi hapa ukiwa na hoja ya Kiutu uzima, nisije kuwa na hangaika na teenager uliyetoka kubalehe mwaka jana.Onesha mfano hio sms ya kumchesha alafu uwone kama watu wajaiona yakijinga na kitoto
Tuoneshe tunafananishe na ile ukiyoposti juu na kusema ya kijinga...talking is cheap
Kemisri zikiendana.Ukimpata mtu mtakaye shibana kisawasawa, hukosi cha kuongea nae.
Hata sasa nipo kazini nachati na mke wangu.
🚮🚮 RubbishSoma HEADING ya huu uzi halafu rudi hapa ukiwa na hoja ya Kiutu uzima, nisije kuwa na hangaika na teenager uliyetoka kubalehe mwaka jana.
Chemistry❌️Kemisri zikiendana.
Naam sahihi sanaChemistry❌️
Kemisri✅️
Pia tutapo wafilla mje hapa mseme hivoTena na hela zinazotafutwa na yeye, nazo zinapelekwa huko..!!
Angalia, usije ukageuzwa wewe..!! Maana kumroga mganga nako ni ishuPia tutapo wafilla mje hapa mseme hivo
Aisee, watu wa hivyo mimi huwaona mashujaa sana.Wakuu itifaki imezingatiwa
Katika harakati za mahusiano na mapenzi kuna kitu kimenishinda mpaka najiuliza mnaofanya hivi mnaajenda gani muda wote mnawasiliana
Hivi mwanaume mwenye majukumu ya kazi tu mbali na familia unakuta muda wote ni kuongea na mwanamke wako yes tena mmoja tu simu ikipigwa hata lisaa mnaongea tu, ikikata mnaanza chatting
Sasa najiuliza mnawezaje na mnawasiliana mambo gani muda wote
maisha ya mapenzi tabu tupuAisee, watu wa hivyo mimi huwaona mashujaa sana.
mimi nikijibu sms mbili tu nahisi kuanza kuchanganyikiwa.
Akinipigia simu aongee mambo ya msingi tena short and clear.