Hivi mnawezaje kuishi Dodoma?

Hivi mnawezaje kuishi Dodoma?

Mkuu kama miti enzi za primary tulipandishwa sana na hapo unakabidhiwa mti au kipande cha bustani ukihudumie lakini nilipita baada ya miaka mingi, bado hali ipo vile vile

Nadhani ujangwa ni uoto wa asili na ili kuuondoa bhasi utahitaji nguvu ya zyada sana

By the way dodoma ya leo hii haina ubovu huo ukiilinganisha na ile ya zaidi ya miaka 15 iliyopita wakati ndo naingia. Ni bhasi tu binadamu tuna chaguo zetu binafsi
Tumepanda sana miti huko kwa kujitolea enzi hizo tukiwa active sana roots&shoots
Ila utamaduni wakupanda miti iwe endelevu

Ova
 
I was been there recently.

Maisha ya Dodoma yanapenda at least uwe vizuri kiuchumi maana kuna ukame Sana hali ya hewa sio rafiki.

Nilipasuka pasuka midomo uso kukakamaa n.k

Sema uzuri ikifika jioni ubaridi unakuepo hii inasaidia kiasi chake.
 
Yani uku ni una pigwa na upepo wa baridi apo apo una chomwa na jua kwa wakati mmoja
we jamaa ni muongo sana nadhani wewe ni dent wa chuo na wala sio mfanyakazi. ukae mwaka usione mvua hizi zilizonyesha hadi mwezi wa tano zilikuwa manii ama upalata?

Nauli haziko fixed wapi? Route ndefu mfano Mjini Ihumwa ni 900 kwingineko ni 600 kwa wakazi wa Kikuyu wao hawana daladala ni bajaj ambayo ni 1000 haizidi hata anayekaa Chidachi.
Rudi kwenu
 
Nianze kwa kusema Nimeishi Arusha,Mwanza ,Dar Moshi, na saivi nipo Dodoma una elekea Mwaka sasa nipo uku kwa sababu za kikazi.

HALI YA HEWA
Huu mji toka nifike sijaona mvua ,mchana kuna jua kali sana na vumbi afu jion na usiku upepo mkali wa baridi kama jangwani karibia napakimbia .

MAKAZI
kwa saivi Dodoma ujenzi ndo mahala pake lakini watu hawajui kujenga kabsa ,Sizani ata kama wana tumia ramani kwenye kujenga maana wana jenga ma nyumba makubwa kama makubwa jinga afu mabaya hajapakwi rangi wala kupigwa lipu yana achwa ivyo ivyo. na madirishani wakiweka mifuko ya cement ,mabox au makaratasi ya magodoro ni kichefuchefu
Ukija kwenye bati ndo huzuni mabati marefu refu kama Mkuki

USAFIRI
Kama huna gari au sio wa kutokea STM .au STK etc uku hakufai usafiri aueleweki wala nauli hazieleweki kila mtu na nauli yake .

MAJI
Kwa mala ya kwanza nashuhudia maji ya idara ya maji yana chumvi l. kama huna kazi apakufai .maji ya kunywa ni ununue bila ivyo utakunywa chumvi uwe na meno kama ndugu zetu wa Arusha .

KAZI
Dodoma ofisi nyingi zina amia uku lakini sio sehemu bora ya kuja kuanzia maisha kama huna ramani tofauti na mikoa kama Dar,Mwanza na Arusha uku uta pauka dk 2 baada ya kushuka stand

MWISHO
nisipo ona ata mvua hii miezi ilio baki ata kwa mganga taenda nihame ofisi
Dodoma gani ?
 
Hallucinations disease
 
Dar kuna joto kali, msongamano wa watu unaofanya kila kitu kuwa struggle na bado hujaongelea mvua zikinyesha. Msimbazi haipitiki

Dar labda uishi maeneo flani ya kishua ila kama kipato cha kawaida, lazma utateseka kuliko watu wenye kipato sawa na, chako mikoani
Dar kama hukai Masaki, Ostyerbay, Mikocheni(sio yote), Ununio, Mbweni na Upanga wewe ni kama Musoma tu. Kweli mtu unakaa Manzese sijui Mbagala au Keko na unajitanua kabisa mbele ya watu mimi naishi Dar? Dodoma mji una nyumba nyingi nzuri kuliko uchafu wa Tandale, Keko, Mbagala maeneo mengi tu Dar sehemu ya watu wanaishi ni 20% tu
 
Ukiona watu wanakenua meno dodoma usidhani wanatabasamu Ila jua ni kali.

By the way mkuu nipe hilo deal la dom maana huo mkoa nnaumudu tu Ila cha msingi maokoto
Kwa hili jua la Dar lililopo leo na lililokuwepo jana Dom hakuna jua kali
 
Upo sahihi Mkuu.

Dodoma ni uwe umeyapatia maisha tayari. Ni pagumu mno, lakini huwenda ndio sehemu inakua kwa kasi na fursa zinaonekana.

Ni kupambana hapohapo.
 
Fursa za kupaushwa na jua kali lenye vumbi ?
Kama ni vumbi tu nahisi Arusha kuna vumbi zaidi, kama ni jua basi angalau la dom mana dom kuna upepo kama upo baharini, dom inafatia kwa mtandao mpana wa barabara baada ya Ilala, unakaa Mpwapwa? Au wewe aidha ni mwanafunzi ama mtoto unashindwa kuexplore jiji, kumradhi lakini....
 
Mimi naishi kwa shemeji, tena chumba kimoja hapa mtera
 
una elekea Mwaka sasa nipo uku kwa sababu za kikazi.
Inamana msimu wa masika hukuona mvua 😂😂😂
Sizani ata kama wana tumia ramani
Kuna mji wowote Tanzania hii unaofika hata nusu ya ubora wa mipangomji ya Dom.Dom hata kujenga fremu tu ndani ya fence ya nyumbayako mpaka upate kibali kutoka CDA/Jiji
Ukija kwenye bati ndo huzuni mabati marefu refu kama Mkuki
Dodoma ndio jiji pekee East and Central Africa ambalo paa za nyumba zimepangwa kwa mfanano wa rangi kila mtaa ukiona ni kama Soweto,Johannesburg vile
.maji ya kunywa ni ununue bila ivyo utakunywa chumvi uwe na meno kama ndugu zetu wa Arusha .
Kama maji yana chumvi sana mbona wakazi wa huko hawaozi meno au meno ya rangi kama wakaazi wa Arusha na kanda ya kaskazini
nisipo ona ata mvua hii miezi ilio baki ata kwa mganga taenda nihame ofisi
Hali ya hewa sio kigezo cha kupima ubora wa mji..ingekuwa hali ya hewa ndio kigezo cha kupima ubora wa mji basi Dubai ingepitwa na Lushoto,Makete,Njombe😀😀
 
Back
Top Bottom