Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Hii wanaita ni"A BOA HUG". Yaani kumbatio la Chatu ambalo huwa si la upendo bali ni kumbatio la kifo.
Anakurubuni na kujifanya anajisogeza karibu yako then anakuhug ili akubane akukamue hadi ukose hewa na kufa kisha akumeze.
So wewe ulidhania mkopo wa elimu ya juu ni mgao wa urithi kwamba haulipwi?! Sasa waliosoma bila mkopo wasemeje? Wewe umepata hiyo bahati basi share na wenzako pia wajione wanazali pia kwa wewe kurejesha hiyo hela na unavyochelewesha lazima uwekewe riba ya ucheleweshaji unalia lia nini sasa si ni mkopo?! Pumbavu sana wewe.
Haya tuje kwenye huo upuuzi mwingine umeandika kimsingi maisha hayaendi hivyo. Usitegemee raisi afanye vitu vya kufurahisha bali tegemea raisi wa kufanya mambo ya msingi ili kuleta maendeleo ya taifa zima. Mambo ya kufurahia hizi mbaga za kisiasa ni ufala wa hali ya juu.