Litakuja kila jambo lina muda wake.Vipi kuhusu uchunguzi tukio la Lissu kushambuliwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Litakuja kila jambo lina muda wake.Vipi kuhusu uchunguzi tukio la Lissu kushambuliwa?
Anaewatawalisha viongozi kati ya waja wake ni allah, anaeamua bei ziwe juu au chini ni allah anaeamua mwaka huu chakula kiwe kingi au kidogo ni allah, na yote haya hufanywa kutokana na matendo ya watu husika, mkienda kinyume mnaletewa balaa mkienda vyema mnaneemeshwa.Hapo kwenye kuletwa na mungu ndo umenitoa tongotongo, kumbe miungu ndo huwa inahusika kuwaleta hawa wakubwa, acha mimi niendelee na huyu Mungu wangu mwenye enzi.
Kwa kitendo cha kuwa ananunua magoli ya simba na yanga, hakika vijana mashabiki wa simba na yanga lazima wamuelewe mama maana Magufuli sidhani kama aliwahi kufanya kitu kizuri kama hicho.Nategemea vijana tumwelewe kwa wingi na tumuunge mkono.
Hakika Rais Samia ni mpango wa mungu.Hata sisi wapigaji ambao tulikimbizwa mjini na kile chuma cha chato sasa tumepata ahueni na tumesharejea mjini kama Mzee Yusufu, tayari kuwaumiza.