Hivi mpaka sasa kuna mtu hamwelewi Rais kweli?

Hii wanaita ni"A BOA HUG". Yaani kumbatio la Chatu ambalo huwa si la upendo bali ni kumbatio la kifo.

Anakurubuni na kujifanya anajisogeza karibu yako then anakuhug ili akubane akukamue hadi ukose hewa na kufa kisha akumeze.

So wewe ulidhania mkopo wa elimu ya juu ni mgao wa urithi kwamba haulipwi?! Sasa waliosoma bila mkopo wasemeje? Wewe umepata hiyo bahati basi share na wenzako pia wajione wanazali pia kwa wewe kurejesha hiyo hela na unavyochelewesha lazima uwekewe riba ya ucheleweshaji unalia lia nini sasa si ni mkopo?! Pumbavu sana wewe.

Haya tuje kwenye huo upuuzi mwingine umeandika kimsingi maisha hayaendi hivyo. Usitegemee raisi afanye vitu vya kufurahisha bali tegemea raisi wa kufanya mambo ya msingi ili kuleta maendeleo ya taifa zima. Mambo ya kufurahia hizi mbaga za kisiasa ni ufala wa hali ya juu.
 
Halafu nyie wachambuzi njaa,kwanini kila kitu kwenye awamu hii tatizo linaanzia kwa magufuli
 
Umeongelea mambo madogo madogo sana, sasa hata hujui mambo ya nchi hii.

Hadi sasa watu wanatekwa na kuuliwa. Tofauti tu ni kwamba wana siasa wamelambishwa asali wakatulia.
Kimsingi wanasiasa walijifunza kwa JPM na sasa hawataki tena kuwa pingapinga na watukanaji maana walikinywea kikombe. Sasa hivi wanalamba asali kitu ambacho kwa JPM hawakukipata hata kidogo.

Kwa mambo hayo tu nchi imetulia maana Hakuna wa kuibua hoja nzito.

Mfano; Huduma zinazotolewa na serikali zinaenda taratiibu sana. Hadi Hospitalini na maofisini ziko taratibu mno.

Rushwa imetamalaki na watu wanauwawa ila hakuna wa kuwasemea raia. 2025 ndipo raia watajisemea wenyewe.
 
Wanamuelewa sana tu,ila ubishi ni tabia ya binadamu...
 
Mbona wewe huwasemei? Au unasubilia mbowe ndo aseme. Kwa hiyo hata ukiona mtu anauawa mtaani kwenu unamsubilia mbowe mpaka aseme? Aise watanzania tuna kazi sana kujikomboa kigikra
 
Labda mnafiki na mwenye chuki ila so far she has outweighed the so called Jiwe by a large margin 😂😂🔥🔥
 
Ubora wa uraisi wa samia pita mitàani ongea na wanainchi kuhusu rais wao ndio utapata jibu kuhusu rais wetu samia
Hao wanaweza kuwa na mtizamo hasi kisa ujinga aliousema Dr Mollel but Kwa watu Wasomi anafanya wonders never told
 
Hapo kwenye kuletwa na mungu ndo umenitoa tongotongo, kumbe miungu ndo huwa inahusika kuwaleta hawa wakubwa, acha mimi niendelee na huyu Mungu wangu mwenye enzi.
Acha kupindisha amesema ameletwa na Mungu sio miungu

Na niwaombe Mungu anaandikwa kwa kuanza na Herufi kubwa Mungu
 
Mbona wewe huwasemei? Au unasubilia mbowe ndo aseme. Kwa hiyo hata ukiona mtu anauawa mtaani kwenu unamsubilia mbowe mpaka aseme? Aise watanzania tuna kazi sana kujikomboa kigikra
Tunendelea kujisemea huku kitaa, Kwa hiyo kaa kwa kutulia.

Nyenzo ya kwenda live kwangu si njia sahihi. Naendelea kupokea maoni na malalamiko ya wananchi na kupost hapa jukwaani,
 
Tunendelea kujisemea huku kitaa, Kwa hiyo kaa kwa kutulia.

Nyenzo ya kwenda live kwangu si njia sahihi. Naendelea kupokea maoni na malalamiko ya wananchi na kupost hapa jukwaani,
Halafu kwa kujificha na ID fake au siyo!!
 
Dar ya wapi hiyo mkuu. Au buza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…