Hivi mpaka sasa kuna mtu hamwelewi Rais kweli?

Malengo yake ni yapi?

Maana naona anaendesha nchi Kama Rais wa mpito tu.
 
Malengo yake ni yapi?

Maana naona anaendesha nchi Kama Rais wa mpito tu.
Malengo yake ni kuongoza raia siyo kuongoza mbuzi kama jpm aliyekuwa anaswaga tu kama mbuzi. Sera zake zipo clear sana kuongeza pato la taifa kwa kuongeza wigo wa vyanzo kama utalii, kilimo, nk. Kupromote demokrasia ambayo ni chachu ya maendeleo endelevu nk. Kama hujui mana ya kuongoza hutaona badala yake utaona kuongoza ni kuua raia kama alivyokuwa anafanya jpm kwa raia kama bensaanane nk
 
Hapo Namba moja nimemuelewa sana.Ameniokolea 8m.
Mungu amjaalie maisha marefu na Afya njema
 
Washalamba asali wote. Tumebaki wachache
Haku mwanaume mwoga wewe. Kama siyo mwoga kwa nini hujitokezi. Jpm alimshambia lisu kwa masasi 32 lakini bado haogopi akaja kugombea urais lakini mitanzania kama wewe ikaufyata hata kulaani kitendo kile. Sasa kama watanzania hamjitambui mnataka nani awasemee
 
Kubisha ni kipaji chako hasa kwa kuwa wewe unamuona magufuli kama mungu wenu. Narudia tena Raise Samia ni mpango wa Mungu
 
Hakika umenena vyema sasa mchele ni elfu tatu kilo! Hakika mama anafungua nchi
 
Ni sahihi kabisa
 
Kubisha ni kipaji chako hasa kwa kuwa wewe unamuona magufuli kama mungu wenu. Narudia tena Raise Samia ni mpango wa Mungu
Mimi sijui mipango ya Mungu nachojua mipango ya Mungu anaijua mwenyewe Mungu, sasa ndugu ushabiki wako kwa Samia inakufanya udai kujua hadi mipango ya Mungu.
 
Nategemea vijana tumwelewe kwa wingi na tumuunge mkono.
 
Asiye muelewa rais mpaka sasa huyo ni zuzu yani ...tuna muelewa vizuri sana kuwa ni KIBARAKA WA GENGE LA WAHUNI NA TEAM MSOGA ...TUNAMWELEWA WAZI WAZI KUWA KWAKE UZALENDO NI MAFIII ....TUNAMWELEWA KUWA YUPO NA LEGASI YA KUNYA AKILI NA KUBAKISHA [emoji117][emoji90] KICHWANI
 
Ishu namba 1 inanihusu.
Nilifurahi sana baada ya retention fee kuondolewa,
Kwa kufanya hivyo, mheshimiwa rais aliniondolea deni la milioni takribani 5.
From the heart,LIVE LONG MY PRESIDENT.
 
Ha ha ha ha a wajinga hawataisha Duniani wanazeeka na wengine wanazaliwa
 
Rais huyu ni mysterious. That is the greatest problem na rais huyu.
 
Na amesema analeta na Katiba Mpya wasiotaka wahame nchi.

Mimi namwelewa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…