Hapo kwenye kuletwa na mungu ndo umenitoa tongotongo, kumbe miungu ndo huwa inahusika kuwaleta hawa wakubwa, acha mimi niendelee na huyu Mungu wangu mwenye enzi.
Anaewatawalisha viongozi kati ya waja wake ni allah, anaeamua bei ziwe juu au chini ni allah anaeamua mwaka huu chakula kiwe kingi au kidogo ni allah, na yote haya hufanywa kutokana na matendo ya watu husika, mkienda kinyume mnaletewa balaa mkienda vyema mnaneemeshwa.
Kwa kitendo cha kuwa ananunua magoli ya simba na yanga, hakika vijana mashabiki wa simba na yanga lazima wamuelewe mama maana Magufuli sidhani kama aliwahi kufanya kitu kizuri kama hicho.