Hivi Mtoto wa kike akija Ghetto kwako lazima Kujigi-jigi?

Kama kaja kwa shida zake sio sawa, ila kama ulimpanga ni muhimu kumuomba

Ila kama hautaki kumgusa kwa sababu ya ugentleman na kuonekana hauna papara ni bora usimguse kabisa

Mademu wengi hawapendi upige touch halafu usimbutue hata kama ameonesha kila dalili ya kukataa

Hivyo ukianza safari hata kama masihara hakikisha unaimaliza,

maana ukiwaacha na mizuka hata kama alijifanya kukataa katakata huwa inawakera sana

Rule ni moja tu, usipotaka piga nae stori

Ukilianzisha hakikisha unamaliza
Na akikupea nyoosha goti kweli kweli, ukiyumba tu ni ngumu sana kumrejesha maana hawa viumbe kama huna hela first impression ndio kila kitu😂
 
Yani siku hiyo mkuu hauzungumzii kabisa ishu za sex.. Una act kama vile hicho kitu hakipo 😂
 
Back
Top Bottom