Kumbe tayar una majibu yako kichwani. Haya bas kama kuoleww imeshindikana ajitahd sana atatfte kaz yyt ya kujikim atoke tu hapo nyumban la sivyo ataugua depressionMmh! Mtu anakaribia miaka 40 sasa mwishoe atafikisha 60, aendelee tu kusubiri bwana?
Hakuna mahali nimesema wasijitegemee,shida ni kumchoka mwanao unataka tu atoke home,wakati mwingine labda hajawa stable financially, siwezi kumfukuza.Kushughulisha akili ni kuhangaika?Nyie si mnasema wanawake ni JESHI kubwa?Mwanajeshi anaogopaje kujitegemea?
Apewe mtaji akachangamshe akili.Atakaa kwao mpka lini?Pengine kwwnye kujichqnganya huko atapata MumeHakuna mahali nimesema wasijitegemee,shida ni kumchoka mwanao unataka tu atoke home,wakati mwingine labda hajawa stable financially, siwezi kumfukuza.
Hali ni mbaya kwa jinsia zote hivyo lazima wazazi watambue zama zimechange.
Daaah!Anatukanwa na majirani?? Au anahisi Tu?
Tanzania ya Leo kuna jirani wa kwenda kutukana mtoto wa mtu kisa hajaolewa?...muwe mnataja na vitongoji mnavyotoa hivi vituko twende tukatembee tuone vituko uswahilini
Hakuna mwanaume anagonga 40 akiwa kwao dunia yote hiiKwani wanaume hakuna wanaokaa hadi wanagonga 40?
Wewe ndiyo mtu pekee uliyejikita kwenye mada. Wengine wote wanaleta shida za nyumbani kwao kwenye uzi wangu. Asante kwa maoni yakoMiaka 32 bado anaishi kwao akisubiri Ndoa!!!
Kwa maana hiyo elimu yake ya chuo kikuu ilikua kwa ajili ya kuolewa ili akawafundishe hesabu watoto wake ama,
Mwambie huyo shoga ako aondoke hapo akajitegemee aache ujinga, zama hizi za kusubiri Ndoa kweli? Wazazi wanafurahi uwepo wake sababu wanajua kuna Mtumishi wa Ndani wa bure hawana haja ya kuajiri mwingine
Hapana. Wanamshambulia kwa kuendelea kukaa nyumbani at the age of 32. Kwann asiondoke nyumbani kwao akajitegemea? Wala siyo kuolewa ama kaziYaan majirani watukane kisa mtu hajaolewa? Wamuowe basi kama ni rahisi hivyo.
Kweli kabisa muda umewatupa mkono..Nipe namba yake PM nimuoe. Hakuna kuchunguzana tupo nyuma ya muda ni ndoa tu.
Wewe ndio unambania huyo dada. Kama unajua kwamba marriage ias a consent btn the two, si uwaunganishe then washindwane au wawezane wenyewe? Au wivu?Marriage is the consent of two people. I hope u understand what is missing?
Huo ni muongozo wa kimaumbile uliotolewa na muumbaji mwenyewe.......ni kama vile unavyonunua chombo chako huku ukipewa manual book kutoka kwa aliyekitengeneza ingawa wewe ndiye mmiliki........Mwanamke ni kiumbe dhaifu dhidi ya nn? Na anachungwa ili iwe nini? Naona kama huu mtazamo umepitwa na wakati sana.
Unamlinda mwanamke asishawishiwe na mwanaume enzi hizi za kidijitali?
Desturi za koo nyingi za kichaga ni kwamba mtoto wa kike awe ameolewa au hajaolewa huwekwa chini ya uangalizi wa kaka yake. Kaka huyu upewa majukumu yote ya ulezi wa dada yake. Na hii lilifanyika kwa vile kulikua na desturi ya kutogawa urithi kwa watoto wa kike so yule wa kiume aliegaiwa mali za familia anapewa jukumu la kumtunza dada yake.Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.
Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali.
Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu ninakuja kwenu wanaJF na maswali yangu haya:-
1. Kwakuwa kuolewa ni nadra sana siku hizi, je, mtoto wa kike azeekee kwa wazazi wake?
2. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni HAPANA, je, ni umri upi sahihi wa mtoto wa kike (asiyeolewa) kuondoka kwa wazazi wake na kwenda kujitegemea?
Kwanini nimeleta uzi huu?
Kuna mdada mmoja kaja kuniomba ushauri mimi Sexless, kungwi la kitaifa.
Anasema ana miaka 32 (msomi wa chuko kikuu) hajabahatika kuolewa wala hajapata kazi. Bado yupo kwa wazazi lakini hivi sasa anatukanwa na majirani, makaka na mashangazi. Wazazi wake hawana shida naye kabisaaa, wako peace kabisa.
Tutoe ushauri utakaosaidia wadada wote nchini wenye changamoto kama ya huyu mteja wangu.
Mmh! Kwann isiwe hata kabla ya kufikiria kubeba ujauzito? Mm nilidhani kuwe na umri tu ukifika mdada aone aibu kuendelea kupishana na babake maliwatoniPale atakapokuwa tayari kubeba ujauzito wa mtu yeyote, ni vizuri akabebea kwake.
Jikite kwenye madaWewe ndio unambania huyo dada. Kama unajua kwamba marriage ias a consent btn the two, si uwaunganishe then washindwane au wawezane wenyewe? Au wivu?
Vipi kwa mwanamke ambaye hatapata kuolewa mpk uzeeni? Ndiyo azeekee kwao? Hebu tulitazame na hili.Kila mwanamke anahitaji mwanamume