Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

Mmh! Mtu anakaribia miaka 40 sasa mwishoe atafikisha 60, aendelee tu kusubiri bwana?
Kumbe tayar una majibu yako kichwani. Haya bas kama kuoleww imeshindikana ajitahd sana atatfte kaz yyt ya kujikim atoke tu hapo nyumban la sivyo ataugua depression
 
Aangalie na aina wazaz aliona nao,kama hawana nongwa aendelee kukaa hapo. Mana kuna wazaz wakishakuona umri umeenda na huna lolote la maana wanakufukuza hapo home
 
Binti kama hajaolewa, hana kazi inayomuingizia kipato, anaendaje kupanga? Si ndio mwanzo wa binti kuanza kujirahisisha kwa wanaume?

Mtoto wa kike ataondoka nyumbani kwa sababu kuu mbili;
1. Amepata kazi mbali na nyumbani(akipata mazingira ya nyumbani atakaa nyumbani)
2. Akiolewa.

Zaidi ya hapo mtoto wa kike hatoki nyumbani.
 
Kushughulisha akili ni kuhangaika?Nyie si mnasema wanawake ni JESHI kubwa?Mwanajeshi anaogopaje kujitegemea?
Hakuna mahali nimesema wasijitegemee,shida ni kumchoka mwanao unataka tu atoke home,wakati mwingine labda hajawa stable financially, siwezi kumfukuza.

Hali ni mbaya kwa jinsia zote hivyo lazima wazazi watambue zama zimechange.
 
Apewe mtaji akachangamshe akili.Atakaa kwao mpka lini?Pengine kwwnye kujichqnganya huko atapata Mume
 
Anatukanwa na majirani?? Au anahisi Tu?
Tanzania ya Leo kuna jirani wa kwenda kutukana mtoto wa mtu kisa hajaolewa?...muwe mnataja na vitongoji mnavyotoa hivi vituko twende tukatembee tuone vituko uswahilini
Daaah!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Pale atakapokuwa tayari kubeba ujauzito wa mtu yeyote, ni vizuri akabebea kwake.
 
Miaka 32 bado anaishi kwao akisubiri Ndoa!!!
Kwa maana hiyo elimu yake ya chuo kikuu ilikua kwa ajili ya kuolewa ili akawafundishe hesabu watoto wake ama,
Mwambie huyo shoga ako aondoke hapo akajitegemee aache ujinga, zama hizi za kusubiri Ndoa kweli? Wazazi wanafurahi uwepo wake sababu wanajua kuna Mtumishi wa Ndani wa bure hawana haja ya kuajiri mwingine
 
Wewe ndiyo mtu pekee uliyejikita kwenye mada. Wengine wote wanaleta shida za nyumbani kwao kwenye uzi wangu. Asante kwa maoni yako
 
Yaan majirani watukane kisa mtu hajaolewa? Wamuowe basi kama ni rahisi hivyo.
Hapana. Wanamshambulia kwa kuendelea kukaa nyumbani at the age of 32. Kwann asiondoke nyumbani kwao akajitegemea? Wala siyo kuolewa ama kazi
 
Marriage is the consent of two people. I hope u understand what is missing?
Wewe ndio unambania huyo dada. Kama unajua kwamba marriage ias a consent btn the two, si uwaunganishe then washindwane au wawezane wenyewe? Au wivu?
 
Mwanamke ni kiumbe dhaifu dhidi ya nn? Na anachungwa ili iwe nini? Naona kama huu mtazamo umepitwa na wakati sana.

Unamlinda mwanamke asishawishiwe na mwanaume enzi hizi za kidijitali?
Huo ni muongozo wa kimaumbile uliotolewa na muumbaji mwenyewe.......ni kama vile unavyonunua chombo chako huku ukipewa manual book kutoka kwa aliyekitengeneza ingawa wewe ndiye mmiliki........

Sijajua fikra zako zimeegemea katika mlengo upi lakini kimaumbile mwanaume ni mchungi wa mwanamke......hili haliihitaji akili nyingi bali kama tu ulikuwa kuishi au kukaa na mwanamke na ukaishi kama mwanamume mbele Yao.......unless uende kinyume na wajihi wako kama mwanamume..........

Kila mwanamke anahitaji mwanamume na sio kila mwanaume ni mwanamume.......
 
Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa.

Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali.

Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu ninakuja kwenu wanaJF na maswali yangu haya:-

1. Kwakuwa kuolewa ni nadra sana siku hizi, je, mtoto wa kike azeekee kwa wazazi wake?

2. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni HAPANA, je, ni umri upi sahihi wa mtoto wa kike (asiyeolewa) kuondoka kwa wazazi wake na kwenda kujitegemea?

Kwanini nimeleta uzi huu?

Kuna mdada mmoja kaja kuniomba ushauri mimi Sexless, kungwi la kitaifa.

Anasema ana miaka 32 (msomi wa chuko kikuu) hajabahatika kuolewa wala hajapata kazi. Bado yupo kwa wazazi lakini hivi sasa anatukanwa na majirani, makaka na mashangazi. Wazazi wake hawana shida naye kabisaaa, wako peace kabisa.

Tutoe ushauri utakaosaidia wadada wote nchini wenye changamoto kama ya huyu mteja wangu.
Desturi za koo nyingi za kichaga ni kwamba mtoto wa kike awe ameolewa au hajaolewa huwekwa chini ya uangalizi wa kaka yake. Kaka huyu upewa majukumu yote ya ulezi wa dada yake. Na hii lilifanyika kwa vile kulikua na desturi ya kutogawa urithi kwa watoto wa kike so yule wa kiume aliegaiwa mali za familia anapewa jukumu la kumtunza dada yake.
 
Pale atakapokuwa tayari kubeba ujauzito wa mtu yeyote, ni vizuri akabebea kwake.
Mmh! Kwann isiwe hata kabla ya kufikiria kubeba ujauzito? Mm nilidhani kuwe na umri tu ukifika mdada aone aibu kuendelea kupishana na babake maliwatoni
 
Wewe ndio unambania huyo dada. Kama unajua kwamba marriage ias a consent btn the two, si uwaunganishe then washindwane au wawezane wenyewe? Au wivu?
Jikite kwenye mada
 
Back
Top Bottom