MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Tumia akili. Wanaonunua ardhi hawaitumii kama unavyofikiria. Nenda Morogoro kuna mashba makubwa ya mkonge ni kama hayana wenyewe. Baada ya hapo jaribu kuchunguza wanaomiliki haonmashamba ni akina nani na wanafanya biashara gani.Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
Umri na Elimu kwako ni kikwazo pia hata exposure ni zero kabisaa..We una umri Gani?
Ndio akili za watoto wa sasa hivi unasema anatania Likud vip bhanaNyie mnao kaza shingo kujibizana na huyu dogo nimewadharau sana. dogo anatania halafu nyinyi mnamjibu seriously.
😂😂😂😂Humu ndani ifike wakati sasa, kabla ya kumsajili kijana lazima afanyiwe usahili na medical checkup
HAo wamarekani wangekua nchinjama hii ya kwetu wangenunua ardhi mpaka ikaisha. --- elimikaAisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
We aliyekuzaa amepata hasara. Hiyo nyumba umejenga juu ya mti? Huo mti umemea kwenye nini. Hiyo Marekani unayoitaja matajiri wakubwa ni wakulima. Vijana wa siku hz mna udumavu mkubwa wa akiliAisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero marekani watu wamepanga nyumba za serikali na wanaendesha maisha Yao Kwa Raha mustarehe ila njoo tanzania Kila mtu yupo site kujenga wengine nyumba haziishi na pesa imeisha wanaamia kwenye mapagale
Sawa zee jinga baada ya kulea wajukuu unashindwa jamii forumNdio akili za watoto wa sasa hivi unasema anatania Likud vip bhana
We mjinga mpaka umezeeeka una utajiri gani au ndio umezeeeka na ujinga wakoWe aliyekuzaa amepata hasara. Hiyo nyumba umejenga juu ya mti? Huo mti umemea kwenye nini. Hiyo Marekani unayoitaja matajiri wakubwa ni wakulima. Vijana wa siku hz mna udumavu mkubwa wa akili
We unajielewaDogo hujielewi
Jamii forum inanipatia pesa wewe upo kusema kununua viwanja ni ujinga nimesema hauna exposure sio tatizo lako..Sawa zee jinga baada ya kulea wajukuu unashindwa jamii forum
Daslm sio sehemu salama ya kukuzia watoto aisee..Dogo hujielewi
Isanga Kwa lugha yetu ni mavi hivyo unafanana hiyo kituJamii forum inanipatia pesa wewe upo kusema kununua viwanja ni ujinga nimesema hauna exposure sio tatizo lako..
Yaani una cash, badala ya kuitumia hiyo cash kwenye biashara wewe unaenda kununua ardhi ili ukakope hela?Mleta mada unaelewa maana ya Mali(Asset)?
Unaelewa maana ya Appreciation? Unajua kama ardhi inakufanya ukopesheke?
Umekosa malezi bora ya wazazi wawili sio kosa lako ndio maana unatukana hovyo mimi siwezi kutukana kwa sababu nikikutukana nawakosea sana walionilea na kusema heshimu kila mtu..Isanga Kwa lugha yetu ni mavi hivyo unafanana hiyo kitu
Mimi nimekuambia isanga Kwa lugha yetu ni mavi nimetukana wapi hapo mshamba weweUmekosa malezi bora ya wazazi wawili sio kosa lako ndio maana unatukana hovyo mimi siwezi kutukana kwa sababu nikikutukana nawakosea sana walionilea na kusema heshimu kila mtu..