Kumtafakari Mungu kwa njia ya kibiblia ni kusema Mungu ni Alfa na Omega, alikuwepo kabla ya ulimwengu ni muumba wa vyote, mmiliki wa vyote na mwenye huruma na upendo wa Agape.
Ila ukimtafakari nje ya Biblia unaona Mungu sio kiumbe kinachoshikika ila ni nguvu chanya inayoishi all over the universal ni nguvu inayotusukuma kutenda mema tukiipa nafasi ya kuitumia na tutafanya makubwa ambayo its beyond our mindset, positive energy hutuimarisha na kutupatia ustawi wa maendeleo yetu kama binadamu na viumbe kwa ujumla wake nje ya hapo ni nguvu kinzani ambayo ni hasi.
Kiimani ibilisi ni mkuu wa uharibifu wote, ubaya wote ambapo tukienda nje ya imani ibilisi ni negative energy that can be driven by our selves also tofauti ya hii nguvu na ile chanya ni mipaka ya kiutawala, nguvu hasi is within our mindset haina matokeo makubwa kuliko uwezo wetu wa kufikiri kama hivyo ndivyo uwepo wa nguvu hizi unategemeana ili kutoa muafaka wa ipi ni kuu kuliko nyingine.
All the bad did laying on negative energy na matokeo yake hayana ustawi wa maendeleo ya watu zaidi ya kuangamiza… ndio maana tunasema positive energy hufanya kazi vizuri zaidi ikiwa unajifunza maarifa mapya kila wakati (kiimani soma Biblia na nje ya imani soma vitabu vya kiada, machapisho ya tafiti na fasihi andishi kwa ujumla wake), ukikuza uwezo wako wa kifikira ni rahisi kufikia ustawi, ujinga ni negative energy hufifisha ustawi wa maisha, ujinga huzuia wigo wa kifikira (Biblia hutoa onyo “Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa” kukosa maarifa hufanya akili kuwa tegemezi wengine wafikiri kwa niaba yako… huu ni ujinga maana unaruhusu kuendeshwa, utadhibiwa, utachomwa moto, utakanyagwa, utaporwa mali zako utalishwa chumvi, utakanyagishwa mafuta, utapewa ahadi za wake 40 after life nk.
Kosa la Adamu na Hawa ni matokeo ya ujinga, hawakufuata maelekezo waliyopewa na Mungu usile tunda la mti wa katikati wao wakala na kusingizia etu ni ibilisi kawadanganya... maana yake waliacha ibilisi afikiri kwa niaba yao walipuuza maelekezo... hata wewe kwenye maisha ya kawaida puuza maelekezo uone kitakacho kutokea ... hatua fulani zitachukuliwa (positive energy will rule against negative energy) iwe ni kwa nia ya kukuonya, kukufunza, kukuelimisha au kukuadabisha. If God is negative energy will rule everything in the universal ....thanks