Hivi Mungu yupo au ni mipango ya watu kujipatia ajira na pesa?

Huna akili, thibitisha kama unazo. Usipothibitisha hupaswi kujibiwa
 

Zaburi 53:1 SRUV​

Mpumbavu husema moyoni, Hakuna Mungu; Ni wafisadi, na wametenda mambo ya kuchukiza, Hakuna atendaye mema.
 
So many like you may not understand!
Only very few folks , who are awake to what is happening here on earth can relate.
Majority of the people are asleep and do not have idea of what is being prepared by the foot soldiers of the Lawless one .
 
Nimeanza kunyonya kwa mama yangu na ninajua maziwa yanapitikana vipi..
 
Mkuu umefanya nitafakar kitu.
Binafsi naamini hatumjui MUNGu.
wengi wetu hatujui MUNGU ana operate namna gani.

na ndicho kitu kinachotutofautisha sisi binadamu, utasikia kuna watu wa jamii za siri.
mimi naamini kuna mengi wacheche wamefunuliwa.

mkuu kunahaja kubwa yakufuta yale yoote tuliojifunza kama watumwa nakuanza kujifunza mambo ambayo hawakutaka tujifunze.
 
Mungu yupo ndie atulindaye na kutuepusha na majanga kila siku. Tumshukuru na tumsujudie yeye aliye Juu🙅🙅
 
So many like you may not understand!
Only very few folks , who are awake to what is happening here on earth can relate.
Majority of the people are asleep and do not have idea of what is being prepared by the foot soldiers of the Lawless one .
NAKAZIA, kuna balaa linakuja.
 
Inapohusu kumjua Mungu sidhani kama kuna source outside the bible and creation..
 
mungu yupo mkuu ila mm siamini katika dini yoyote, siamini kabisa kitabu chochote cha dini, siamini uwepo wa mitume na manabii coz hata kina mwamposa hii miujiza yao ya kutumia script baada ya miaka 500 ama 1000 huko kutakuwa na stori zingine kabisa
 
Hv kwa nini mtu akiuliza swali kuhusu uwepo wa Mungu mnakuja kumtisha ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…