Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipi kinakuchekesha mkuu?😂😂Kwamba unamini FACT? umenichekesha sana.😂😂
Hujui jangwa la Kalahari?!Kalahari ndio wapi?
To me, common sense, logic, imagination, rational thinking, intuition ànd high power mental reasoning negates the existence of God!
Nasubiri matusi of all kinds, but from an educated mind? Without violating my rights to think otherwise!
Usiku mwema!
Mmeanza vitisho uchwara vyenu.Kuna siku utalazimika kujua kuwa yupo sadly itakuwa too late.
N.B:SIKUTISHII ILA NAKWAMBIA UKWELI.
SilijuiHujui jangwa la Kalahari?!
Nimeanza kunyonya kwa mama yangu na ninajua maziwa yanapitikana vipi..Ikiwa kila mwenendo wa jambo lolote huingizwa na nadharia au kanuni basi hata dunia yupo anayemiliki.
Jua,mwezi na vyote vilivyomo Mungu ndiyo aloviumbe pili maisha ya binadamu yalivyopangiliwa utagundua hilo,mfano
Umeanza kwa kunyonya kwa mama ako ambapo hujui maziwa yamezalishwaje,ukaanza kitambaa na kutembea mpk kirefuka na kupata riziki yako hivi bado hakuna anayesimamia yote haya??
Mkuu umefanya nitafakar kitu.To me, common sense, logic, imagination, rational thinking, intuition ànd high power mental reasoning negates the existence of God!
Nasubiri matusi of all kinds, but from an educated mind? Without violating my rights to think otherwise!
Usiku mwema!
sawa.Mmeanza vitisho uchwara vyenu.
NAKAZIA, kuna balaa linakuja.So many like you may not understand!
Only very few folks , who are awake to what is happening here on earth can relate.
Majority of the people are asleep and do not have idea of what is being prepared by the foot soldiers of the Lawless one .
Inapohusu kumjua Mungu sidhani kama kuna source outside the bible and creation..Mkuu umefanya nitafakar kitu.
Binafsi naamini hatumjui MUNGu.
wengi wetu hatujui MUNGU ana operate namna gani.
na ndicho kitu kinachotutofautisha sisi binadamu, utasikia kuna watu wa jamii za siri.
mimi naamini kuna mengi wacheche wamefunuliwa.
mkuu kunahaja kubwa yakufuta yale yoote tuliojifunza kama watumwa nakuanza kujifunza mambo ambayo hawakutaka tujifunze.
Hv kwa nini mtu akiuliza swali kuhusu uwepo wa Mungu mnakuja kumtisha ,Una makosa makubwa sana kwamba hadi umefikia hatua hii bado hujaweza kujua kama Mungu yupo au hayupo.
Kwa stage hii uliyopo sasa, ulitakiwa uwe taryari umeshahakikisha kama aidha Mungu yupo au hayupo na hivyo hukutakiwa tena kuuliza swali la namna hii
Mungu wapo wengi msomi na kila mungu ana utaratibu wakeKwani huyo mnayemuamini kuwa yupo si ni mmoja? mungu huyo ambaye mnasema yupo has got different naming!
Zungumza kiswahili msomi sijakuelewaWe believe facts, truths known by actual experience