Ukipata vihelaa ukala ukashiba utaelewa utulivuu gani anazungumziaa ilaa Kama unaamka asubuhi hujui utakulaa nini bhasi akili yako bado haiitaji utulivu unaosemwaa pambana...Wewe ni binadamu muongo zaidi kuwahi kukushuhudia.Ndoa ipi ilete utulivu?
Maisha ya furaha kwa mwanaume uisha mara tu anapooa.
Mbowe hana ndoa, mnamjua kweli?So unataka kusema mbowe hana heshima sawa na mimi hapa, yeye ana pesa , kiongozi mkubwa, mimi nin ndoa tu ila maisha magumu
Ndoa unaleta utulivu sio ndoa zenu hivi nyote vicheche mshapakuana vya kutosha ndio mnafunga ndoa...Wewe ni binadamu muongo zaidi kuwahi kukushuhudia.Ndoa ipi ilete utulivu?
Maisha ya furaha kwa mwanaume uisha mara tu anapooa.
Ni changamoto.ndicho anachokiogopa Masanja baada ya kutafuniwa mkewe mchana kweupe
anajua akikiwasha, nusu ya worth yake inateketea
Wewe kama unaoa wewe oa usitupigie keleleKitu pekee ni kwamba ndoa ni asili ya binadamu ,nikiwa na maana hata wanyama wana muunganiko wa mke na mume ili kuendeleza kizazi.
Kijana usipate hadaa za duniani za maendeleo ya vitu landa waje marobot ndio hawatooana ...Ila binadamu kiafya zaidi kuna umri ukifika lazima upate mwenza maana hormones zinazalishwa kwa kasi...Kama hautopata ndoa utakuwa malaya ,je umalaya una faida gani?
Ndio umalaya huoKama ni kugonga mbona tunagonga tu,
Mke wako unagongewa na Vijana wa BodabodaNdio umalaya huo
Usiongee usichokijuaNilipoona unasema Mbowe naye Hana Ndoa nikaacha kuendelea kusoma ulichoandika.
Hata kama ulizaliwa na kulelewa na single parent haitapendeza watoto wako nao waishi hivyo.
Usichojua ni kuwa Mwanaume mwenye Ndoa anapata heshima kubwa kwenye jamii kuliko asiye na Mke.
Hata ukiwa na Kesi Polisi/Mahakamani dhamana haitolewi Kwa Muhuni/ Mwanaume asiye na familia
Haiwezi kutokeaMke wako unagongewa na Vijana wa Bodaboda
Utakuja kulia vibaya wwHaiwezi kutokea
Ikiwa unaamini kuwa fukara anaheshimika basi hatujavuka pamoja kwenda kwenye karne ya 21.Masikini unamchukulia aje? Kwamba unamfanyia nini fukara, na humfanyii mwenye ukwasi? Unamvunjia aje heshima mwanadamu mwenzio?
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
stephot Cook brotherRaha ya ndoa ni kuzaa watoto, na kuwa na watoto ni raha sana, sio tu raha kuwa na watoto bali kuwa na watoto na mama yao around you, wanamuita mama na wewe wanakuita baba, hapa kunakuwa na mapenzi makali, kuanzia watoto kwa baba, watoto kwa mama, baba kwa mama and vise versa. It's so fun to have them around you, ila yote hayo yanaweza kuonekana hayana maana kama amani itatoweka, na chanzo kikuu cha amani kutoweka kwenye ndoa ni dhambi, hapa kuna usaliti, wivu, uvivu, ulevi, uongo, hasira, chuki, visasi, vinyongo n.k. ndio maana mkijitambua mkamshika Mungu na kuzitii amri zake utafurahia ndoa maisha yako yote...
Uongo.... don't expect anything from a woman wengi wamelia sanaMkuu ndoa sio lazima kufunga ila Kuna faida kubwa na nyingi sana mtu kufunga ndoa na kuishi na mke wake kuanzia kwenye malezi chanya ya familia hadi kwenye matatizo kama ugonjwa,,,kwa Sasa huwezi ona faida ya ndoa kwakua ni kijana ila ukishafika kuanzia miaka 55, maradhi yameanza kusumbua, familia unashindwa kuihudumia, hakuna ambaye atakufanyia baadhi ya vitu zaidi ya mke wako,,,unapooa ni kama unatengeneza mazingira salama ya baadae kwako na familia Yako,,jambo muhimu jitahid tu usikosee kuoa.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kuna siku nilitoa point kama hii walinipopoa kuwa na waza kuumwa tuMkuu ndoa sio lazima kufunga ila Kuna faida kubwa na nyingi sana mtu kufunga ndoa na kuishi na mke wake kuanzia kwenye malezi chanya ya familia hadi kwenye matatizo kama ugonjwa,,,kwa Sasa huwezi ona faida ya ndoa kwakua ni kijana ila ukishafika kuanzia miaka 55, maradhi yameanza kusumbua, familia unashindwa kuihudumia, hakuna ambaye atakufanyia baadhi ya vitu zaidi ya mke wako,,,unapooa ni kama unatengeneza mazingira salama ya baadae kwako na familia Yako,,jambo muhimu jitahid tu usikosee kuoa.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Hao vijana wao wanakuwa ni bikira?Hii ni moja ya sababu za Vijana kutokuoa
Mbona watu wanaishi na mama na watoto wao na hawana ndoa? Au mimi ndio sielewi?Raha ya ndoa ni kuzaa watoto, na kuwa na watoto ni raha sana, sio tu raha kuwa na watoto bali kuwa na watoto na mama yao around you, wanamuita mama na wewe wanakuita baba, hapa kunakuwa na mapenzi makali, kuanzia watoto kwa baba, watoto kwa mama, baba kwa mama and vise versa. It's so fun to have them around you, ila yote hayo yanaweza kuonekana hayana maana kama amani itatoweka, na chanzo kikuu cha amani kutoweka kwenye ndoa ni dhambi, hapa kuna usaliti, wivu, uvivu, ulevi, uongo, hasira, chuki, visasi, vinyongo n.k. ndio maana mkijitambua mkamshika Mungu na kuzitii amri zake utafurahia ndoa maisha yako yote...