Hivi mwanaume anapata nini kwenye ndoa kiasi kwamba ajutie kutokuwa na ndoa. Je, ndoa kwa Dunia hii ni muhimu kuliko pesa

Hivi mwanaume anapata nini kwenye ndoa kiasi kwamba ajutie kutokuwa na ndoa. Je, ndoa kwa Dunia hii ni muhimu kuliko pesa

Wewe ni binadamu muongo zaidi kuwahi kukushuhudia.Ndoa ipi ilete utulivu?
Maisha ya furaha kwa mwanaume uisha mara tu anapooa.
Ukipata vihelaa ukala ukashiba utaelewa utulivuu gani anazungumziaa ilaa Kama unaamka asubuhi hujui utakulaa nini bhasi akili yako bado haiitaji utulivu unaosemwaa pambana...
 
Nipo ndani ya Miaka 20 Sasa, nafurahia familia yangu. Japo sio Tajiri. Pia natekeleza Imani yangu nisi Dhini yaani nakula kilichochinjwa
Hao Uliowataja Sio Manabii, ni kosa kukaa na Mwanamke Bila Kuoa.
 
Kitu pekee ni kwamba ndoa ni asili ya binadamu ,nikiwa na maana hata wanyama wana muunganiko wa mke na mume ili kuendeleza kizazi.

Kijana usipate hadaa za duniani za maendeleo ya vitu landa waje marobot ndio hawatooana ...Ila binadamu kiafya zaidi kuna umri ukifika lazima upate mwenza maana hormones zinazalishwa kwa kasi...Kama hautopata ndoa utakuwa malaya ,je umalaya una faida gani?
Wewe kama unaoa wewe oa usitupigie kelele
 
Nilipoona unasema Mbowe naye Hana Ndoa nikaacha kuendelea kusoma ulichoandika.

Hata kama ulizaliwa na kulelewa na single parent haitapendeza watoto wako nao waishi hivyo.

Usichojua ni kuwa Mwanaume mwenye Ndoa anapata heshima kubwa kwenye jamii kuliko asiye na Mke.

Hata ukiwa na Kesi Polisi/Mahakamani dhamana haitolewi Kwa Muhuni/ Mwanaume asiye na familia
Usiongee usichokijua
dhamana ni haki ya mtuhumiwa.
 
Raha ya ndoa ni kuzaa watoto, na kuwa na watoto ni raha sana, sio tu raha kuwa na watoto bali kuwa na watoto na mama yao around you, wanamuita mama na wewe wanakuita baba, hapa kunakuwa na mapenzi makali, kuanzia watoto kwa baba, watoto kwa mama, baba kwa mama and vise versa. It's so fun to have them around you, ila yote hayo yanaweza kuonekana hayana maana kama amani itatoweka, na chanzo kikuu cha amani kutoweka kwenye ndoa ni dhambi, hapa kuna usaliti, wivu, uvivu, ulevi, uongo, hasira, chuki, visasi, vinyongo n.k. ndio maana mkijitambua mkamshika Mungu na kuzitii amri zake utafurahia ndoa maisha yako yote...
stephot Cook brother
 
Mkuu ndoa sio lazima kufunga ila Kuna faida kubwa na nyingi sana mtu kufunga ndoa na kuishi na mke wake kuanzia kwenye malezi chanya ya familia hadi kwenye matatizo kama ugonjwa,,,kwa Sasa huwezi ona faida ya ndoa kwakua ni kijana ila ukishafika kuanzia miaka 55, maradhi yameanza kusumbua, familia unashindwa kuihudumia, hakuna ambaye atakufanyia baadhi ya vitu zaidi ya mke wako,,,unapooa ni kama unatengeneza mazingira salama ya baadae kwako na familia Yako,,jambo muhimu jitahid tu usikosee kuoa.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Uongo.... don't expect anything from a woman wengi wamelia sana
 
Mkuu ndoa sio lazima kufunga ila Kuna faida kubwa na nyingi sana mtu kufunga ndoa na kuishi na mke wake kuanzia kwenye malezi chanya ya familia hadi kwenye matatizo kama ugonjwa,,,kwa Sasa huwezi ona faida ya ndoa kwakua ni kijana ila ukishafika kuanzia miaka 55, maradhi yameanza kusumbua, familia unashindwa kuihudumia, hakuna ambaye atakufanyia baadhi ya vitu zaidi ya mke wako,,,unapooa ni kama unatengeneza mazingira salama ya baadae kwako na familia Yako,,jambo muhimu jitahid tu usikosee kuoa.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kuna siku nilitoa point kama hii walinipopoa kuwa na waza kuumwa tu
 
Kataa ndoa wana kwepa majukumu ktk familia hakuna kingine. Ni wana akiri za kitoto na hawa pendi kuwajibika ktk jamii.
 
Raha ya ndoa ni kuzaa watoto, na kuwa na watoto ni raha sana, sio tu raha kuwa na watoto bali kuwa na watoto na mama yao around you, wanamuita mama na wewe wanakuita baba, hapa kunakuwa na mapenzi makali, kuanzia watoto kwa baba, watoto kwa mama, baba kwa mama and vise versa. It's so fun to have them around you, ila yote hayo yanaweza kuonekana hayana maana kama amani itatoweka, na chanzo kikuu cha amani kutoweka kwenye ndoa ni dhambi, hapa kuna usaliti, wivu, uvivu, ulevi, uongo, hasira, chuki, visasi, vinyongo n.k. ndio maana mkijitambua mkamshika Mungu na kuzitii amri zake utafurahia ndoa maisha yako yote...
Mbona watu wanaishi na mama na watoto wao na hawana ndoa? Au mimi ndio sielewi?
 
Back
Top Bottom