Raha ya ndoa ni kuzaa watoto, na kuwa na watoto ni raha sana, sio tu raha kuwa na watoto bali kuwa na watoto na mama yao around you, wanamuita mama na wewe wanakuita baba, hapa kunakuwa na mapenzi makali, kuanzia watoto kwa baba, watoto kwa mama, baba kwa mama and vise versa. It's so fun to have them around you, ila yote hayo yanaweza kuonekana hayana maana kama amani itatoweka, na chanzo kikuu cha amani kutoweka kwenye ndoa ni dhambi, hapa kuna usaliti, wivu, uvivu, ulevi, uongo, hasira, chuki, visasi, vinyongo n.k. ndio maana mkijitambua mkamshika Mungu na kuzitii amri zake utafurahia ndoa maisha yako yote...