Hivi Nchimbi hana watoto, kaka, dada, mabinamu, na ndugu wengine wa karibu?

Wote hao wamepigwa pin,yule bibi ni jini mtoa roho
 
Labda kuna kitu kapanga au anapanga, akisema mapema itakuwa premature.. Tumpe muda apumzike na apange draft upya. Si mtoto mdogo.. Anajua afanyacho.
Sawa, lakini si anaweza tu kusema kuwa kwa sasa yupo salama na kwamba ataongea zaidi hapo baadaye…
 
We ni mavi ya popo shoga kumammako
 
Ndugu zake na watoto wake wapo,Tena walikua wanachekelea kweli kweli wakati waTanzania wakilalamikia utekaji na mauaji yanayofanywa na serikali ya ndugu Yao..

Kuimba kupokezana, wachawi wakimaliza kula nyama za watesi wao , hugeukiana wao kwa wao.Sina huruma na CCM yeyote.Angekua mwema angekataa kushika hiyo nafasi ya umakamu after what happened oct 29, 2025.

Huruma sio malezi..Huko aliko Acha wamnyabagule vilivyo
 
Kigumu kwangu kuamini ni kuwa Abdul ndiye mkuu wa usalama wa taifa. Inawezekanaje?
 
Atakuwepo, ila kaamua tu kukaa kimya.

Angekuwa kapotea, ndugu zake na familia yake wangekuwa wameshakuja PUBLIC.
 
CCM ilipofikia ..kuangamiza familia ni simpo tu..
 
We zuzu ujapewa nafasi hadi leo?
 
Ccm oyeeee
 
Ndugu anao, tena ni wengi tu....
 
Huenda wana taarifa au wanawasiliana.

Ila kuhusu tabia ya kutokuuliza maswali hutokea iwapo jamii imeshakubali kuadhibiwa kinyume cha sheria."chicken syndrome"

Chicken syndrome is when a society is taught to accept unlawful punishment as normal, shifting blame from the act of punishment to the person punished
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…