Hivi Nchimbi hana watoto, kaka, dada, mabinamu, na ndugu wengine wa karibu?

Chicken syndrome…..💯%.
 
Boss bado uko Marekani tuje kukuteka? Mafwele hapa.
 
HURUMA SIO MALEZi 🔥🔥
 
Sawa, lakini suala la yupo hai na ni mzima wa afya wala si suala la kisiasa.
MKo mahali kila kitu kinaweza kufanyika lkn akili na uwezo wa kufikiri ni km bado mko manzese..mmeshindwa kusaidia nchi kwa vitu vdg kbs, kitu gani mnaweza kufanya nyinyi ukiacha kupiga domo na kulalamika..
 
Wewe umefanya nini?
 
Sema nini!

CCM wasipomuwahi Raisi wao, Hakuna rangi wataacha kuiona mpaka wale wanaodhani wana-control (Genge).
Na Msako kwake badounaendelea sana tu kwa kila mbinu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…