residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Unajua kumvua uanachama maana yake ni kwamba hatakiwi hata kukabidhi ofisi!???Mimi nasubiri akishajiuzulu. Yaani tarehe 04 naisubiri kwa hamu.
Naamini yupo Salama, ndugu, Marafiki, kanisani kwao wangeshafunguka, Ndugu wanajua alipo.. Naamini kimya kingi kina mshindo
Au mmoja wa watu wake aseme maneno hayo. Inatosha.Sawa, lakini si anaweza tu kusema kuwa kwa sasa yupo salama na kwamba ataongea zaidi hapo baadaye…
Umetoa kabambe.Unajua kumvua uanachama maana yake ni kwamba hatakiwi hata kukabidhi ofisi!???
Maana yake hiyo tarehe 4 Sept, hataonekana.
Hii ngozi nyeusi ina watu wa hovyo sana. Imagine hata ndugu zake wamegeuka kuwa machawa, wanasikilizia watu wengine ndio wampigie kelele ndugu yao.This shyt is weird AF!
Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.
Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu haramu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake haramu halafu watu tunakuwa hatujui alipo?
Nchimbi alikuwa ni mtumishi [haramu] wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.
Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.
Yaani sielewi kabisa.
Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.
Wapendwa wangu hawatakaa kimya.
Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?
Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?
Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, nako wameshindwa kufanya?
Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?
Nchi ya ajabu sana hii.
Aisee! Hakika shetani hana rafiki.Wamepanga kuua ukoo wake wote
Lucas unaf*irwa, uchawa wako kwa mnuka punani huyo unadhihirisha ujuha wako.Acha kiherehere wewe. Kwani wewe ndiye mke wake? Wewe ni mtoto wake? Au wewe ni Mke Mwenza ? Nani kakuambia kuwa kapotea? Nani kakuambia kuwa anatafutwa na ndugu zake na mke wake na watoto wake?
Embu basi jitokeze hadharani useme unamtafuta na kwamba umekwenda kwake hujamkuta na una shida naye fulani
nchi kwa sasa inatawaliwa na majini/mapepo. Tukemee haya masheitwani waziwazi. Tukiyabembeleza masheitwani tumepigwaThis shyt is weird AF!
Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.
Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu haramu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake haramu halafu watu tunakuwa hatujui alipo?
Nchimbi alikuwa ni mtumishi [haramu] wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.
Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.
Yaani sielewi kabisa.
Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.
Wapendwa wangu hawatakaa kimya.
Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?
Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?
Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, nako wameshindwa kufanya?
Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?
Nchi ya ajabu sana hii.
Huu ndio ufyatu wenyewe.Acha kiherehere wewe. Kwani wewe ndiye mke wake? Wewe ni mtoto wake? Au wewe ni Mke Mwenza ? Nani kakuambia kuwa kapotea? Nani kakuambia kuwa anatafutwa na ndugu zake na mke wake na watoto wake?
Embu basi jitokeze hadharani useme unamtafuta na kwamba umekwenda kwake hujamkuta na una shida naye fulani
Ukiona watu wake wa karibu (baba, mama, Kaka, dada, mke, watoto na marafiki) wako kimya basi jua wanajua yupo wapi na hawana shida. Wewe kiherehere chako maana hata yeye alisema anastaafu Utumiahi na Siasa. Unataka aropokeropoke kama Mzee Warioba wakati kustaafu?This shyt is weird AF!
Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.
Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu haramu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake haramu halafu watu tunakuwa hatujui alipo?
Nchimbi alikuwa ni mtumishi [haramu] wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.
Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.
Yaani sielewi kabisa.
Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.
Wapendwa wangu hawatakaa kimya.
Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?
Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?
Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, kusema hawajui nako wameshindwa kufanya?
Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?
Nchi ya ajabu sana hii.
Emmanuel Nchimbi mdogo wake (John) ni mbunge wa Nyasa - CCM.This shyt is weird AF!

Hii ngozi nyeusi ina watu wa hovyo sana. Imagine hata ndugu zake wamegeuka kuwa machawa, wanasikilizia watu wengine ndio wampigie kelele ndugu yao.
Ili kujua ni yeye au siyo yeye nenda kwa Museveni Uganda kujifunze.Kigumu kwangu kuamini ni kuwa Abdul ndiye mkuu wa usalama wa taifa. Inawezekanaje?
Wamepanga kuua ukoo wake wote
Uzuri CCM hua haina rafiki walikuwepo vihere here zaidi yako sasa hivi wana hali ngumu ni swala la muda tu na wewe utaingia humoAcha kiherehere wewe. Kwani wewe ndiye mke wake? Wewe ni mtoto wake? Au wewe ni Mke Mwenza ? Nani kakuambia kuwa kapotea? Nani kakuambia kuwa anatafutwa na ndugu zake na mke wake na watoto wake?
Embu basi jitokeze hadharani useme unamtafuta na kwamba umekwenda kwake hujamkuta na una shida naye fulani
Wa ile barua yake, inaonekana hataki kabisaa kujihusisha na yanayoendelea.." raia mwema...."Sawa, lakini si anaweza tu kusema kuwa kwa sasa yupo salama na kwamba ataongea zaidi hapo baadaye…
Ili kujua ni yeye au siyo yeye nenda kwa Museveni Uganda kujifunze.
Siasa za kijima za kutekana zinasambaa ukanda wa Africa ya kati, mashariki na kusini.
Zambia baada ya uchaguzi upinzani ulioilalamikia Tanzania kuwaingilia Kiongozi wa upinzani kawekwa ndani kwa uhaini, baada ya huyo Msabato feki Hichilema kutangazwa mshindi na kuapishwa.
Huwa nasema ngozi nyeusi bado MUNGU anamtengeneza akili, anaiumba ikae sawa, hata ukimuita mtu mweusi kichaa, taahira bado hujamtukana, ndivyo alivyo.Chama Tawala chama kombozi pale Zambia kilizikwa tangu 1991 kutokea apo ni Wapinzani ndio watawala wa Zambia
Sasa tujuilize Wapinzani wamefanya nini la maana kiuchumi kidemokrasia pale Zambia
Wametawala zaidi ya miaka 30×
Kenya napo chama cha KANU kilizikwa miaka mingi nyuma
Leo pale Kenya kuna Demokrasia yoyote ‼️‼️
Uchumi je ‼️
Kenya uchaguzi bado lkn wapo kwenye mikutano ya kawaida lkn tayali juzi kati watu wawili wameuwawa na wengine wengi Wamejeruiwa vibaya na Mapanga
Chaguzi Kenya ni Vita kabisa kwanzia kazi ya majimbo‼️
Na ndio wamefanya tayali Mabadiriko ya KATIBA na Sheria za Uchaguzi ‼️‼️‼️
Africa Demokrasia ya vyama vingi ni koti kubwa kwetu hatupashwa kukubebeshwa au kujibebesha✍️