Hivi Netanyahu ana elimu kweli, mbona anaendesha nchi kama viongozi wa shithole countries?

Sio kuuliwa tu wapalestina ni magaidi wanatakiwa wauwawe wote
 
Ushashiba makande yako uko unakuja kujamba humu au siyo?
Kizee chenu kinatia aibu. Kila siku kinakwenda kwenye nchi za wanaume wenzake kuomba misaada ya fedha na silaha. Na kikiwa huko kinalala kwenye nyumba ya Trump ambae aliwahi kuwa na kesi za ngono.

Ni kwanini kasijenge mifumo imara ya kujitegemea wenyewe kama vile China.

Leo hii hakuna mpumbavu yeyote wa magharibi ambae anaweza kumpangia China cha kufanya kwa sababu wanajiweza kiuchumi na kiteknolojia. Lakini kibabu chako hata mazungumzo ya kuachiwa mateka wao mpaka aende Marekani kuomba ruhusa ya kuzungumza kutoka kwa Trump!

Ama kweli chamtu mavi, Shetaninyau anadhalilika kila siku kwenda Marekani kuomba ruhusa ya kufanya jambo huku anaemfuata amekuja Middle East bila kutia mguu katika nchi yake 🤣🤣🤣

Israel ni shithole country iliyochangamshwa na wazungu tu. Ila kiuhalisia hawana tofauti na Congo.
 
Yahuudi ntu mbadi sana yaan hiyo mizoga yote kaipeleka kuzimu na almanusura gaidi busha ayatollah naye angewaishwa kuzimu zishukuriwe busara za trump kumwambia neta kuwa kiache hizo kizee kilicholaaniwa kimalize siku zake hapa duniani
Zelenks mwaka wa 3 huu anapigana vita akiwa na afya timamu.

Kizee chenu Shetaninyau makombora ya week 1 tu, kilikuwa kinaishi banker (shimoni) bila kula, kupiga mswaki, kuoga wala kupiga nguo pasi kudadeki. Na afya yake ilikuwa ishadhoofika, alibaki kichwa tu, huku mifupa ya shingo yote ipo nje zaidi ya Zelenks alievitani miaka 3 kudadeki 🤣🤣🤣

Ndiomaana anampigia chapuo Trump apewe tuzo ya amani kwa sababu ya kumuepusha na kifo kilichokuwa kinamnyemelea.
 

Attachments

  • 20250620_225357.jpeg
    21.3 KB · Views: 17
Yahuudi ntu mbadi sana yaan hiyo mizoga yote kaipeleka kuzimu na almanusura gaidi busha ayatollah naye angewaishwa kuzimu zishukuriwe busara za trump kumwambia neta kuwa kiache hizo kizee kilicholaaniwa kimalize siku zake hapa duniani
 

Attachments

  • Screenshot_20250703-094932.jpg
    326.9 KB · Views: 12
Ayatollah kakaa shimoni ka panyabuku akiogopa bunker buster kumfumua mpaka kwenye mazishi ya mizoga ya panyarodi wake hakuhudhuria.
Gaidi busha ayatollah kamwaga sana samadi kwa kihoro mpaka pampaz zikaisha.
 
Ndiyo
Jamaa ni mdini mbaya sana, halafu anakimbilia kujificha katika kichaka cha watu wengine wenye mtazamo tofauti na yeye. Sijui inamsaidia nini katika maisha yake.
Hapo sasa udini unakupa faida gani?
 
Msg safi sana tena ujumbe murua kudai Waislam au Iran inawachukia wayahudi ni Propaganda ya kitoto sana ktk Dunia ya leo !!

Ni kazi ya Wachungaji wa Afrika mashariki kueneza uwongo uku wenyewe wakisambaza chuki sasa !!!

hiii Propaganda ipo ivi sawa kutukana mtu kisha mwenzio ndio anamiliki Media kwaiyo matusi yako ww ndio yatajulikana lkn yake ayasemi kabisa sasa dunia itakuona ww ndio unachuki kwa kumtukana mwenzio matusi makubwa bila sababu yoyote!!

mana yeye aweki Sababu upande wake ya ww kumtukana !!

huuu ndio ukweli mchungu visa vya ISRAEL ndio ivo wkt uwo uwo m1 Israel inalalamika eti Iran inataka kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia !!

iyo Israel yenyewe inaangaika kutaka kuifuta Palestina kwenye USO wa Dunia na Israel tayali ndio ipo vitendoni inafanya mauaji na kutwaa Ardhi yao !!!

uku Israel iyoiyo inalakamika eti inataka
kufutwa!¿¿

¿ kwaiyo wao Israel kuwafuta Wapalestina sawa sio zambi kabisa!!!

lkn ikijibiwa na Iran kuwa tunajua lengo lako ww sio Aman na Palestina ila lengo lako ni kuifuta Palestina sasa ujue utoweza sasa utafutwa wewe kwenye
Ramani ya Dunia !!!!

sasa Israel kusikia ivyo ndio kupitia MEDIA zake inapiga kelele hooo Iran inataka kunifuta kwenye uso wa Dunia mikelele kibao Wachungaji naoa mikelele kibao uku pengine washalamba pesa kutoka kwa Mossad !!

Sasa Israel yeye anaendelea kuwafuta Wapalestina washawauwa wapalestina 100,000 kutoka 7 october piga esabu tangu mizozo hii imeanza adi leo Wapalestina wangapi wameuwawa na Waisrael!! Ardhi yao kwa ukubwa upi imechukuliwa kwa mabavu ¿¿¿¿¿¿

nukuu yeye anataka kufuta Palestina !!

Lkn Israel yeye ataki kusikia kufutwa!!!!!!

Aman gani miaka yote mlikuwa mnatafuta uku unamfuta mwenzio kupitia kuwauwa na kuchukua Ardhi zao kila kukicha inasikitisha sana. !!

Bila Iran Israel ingefanikiwa mapema asubui lkn kwasasa ngoja tuone mwisho wake. Nani Afutwe !! nani zaifu !!. mbungi limekuwa tamu vibaya wanaume wameingia Kwasasa !!!

vikao vya kibao kata uko Marekani avitowai kuisha Yemen kapewa ruksa kwasasa zamisha chombo chochote wacha wakune vichwa lkn jibu ni moja tu FREE FREE PALESTINA
 
Ayatollah kakaa shimoni ka panyabuku akiogopa bunker buster kumfumua mpaka kwenye mazishi ya mizoga ya panyarodi wake hakuhudhuria.
Gaidi busha ayatollah kamwaga sana samadi kwa kihoro mpaka pampaz zikaisha.
Ukiangalia afya zao hapo pichani bila shaka utapata jibu ni jinsi gani Netanyahu alikuwa anahofia maisha yake huko shimoni kwa kukosa kula, kuoga, kulala wala kukaa kwa amani.

Alifanya la maana kuomba poo, maana makombora yalikuwa yanapiga karibu na shimo lake, akaona bora ajisalimishe kuomba vita vimalizwe ili asije kufikiwa shimoni.

Trump mwenyewe kwenye mkutano wa NATO alikiri kuwa Israel ilichapwa kweli kweli mpaka akaamua kuingilia kati kwenda kuisaidia isimalizwe.

Sikiliza hiyo video ya Trump hapo akiongea na mkuu wa NATO. Kama english haipandi tafuta mtu wa karibu akutafsirie au urudi hapa nikwambie kilichozungumzwa. Uzuri wa Trump sio mnafiki wa kiwango cha Shetaninyau.

Trump nyeupe anaita nyeupe bila kuficha chochote japo ukweli wako hapo videoni uliwaumiza kina Shetaninyau na nyinyi wayahudi wa manyovu lakini yeye hakujali. Sio mnafiki hata chembe 🤣🤣🤣

Shetaninyau kabaki mifupa shingoni, Ayatollah bado ana afya yake tu akiwa karelax kitini kwake.
 

Attachments

  • 20250620_225357.jpeg
    21.3 KB · Views: 14
  • AP23155441147475-640x400.jpg
    50.8 KB · Views: 13
  • 6109767-d26bef7a12c4ddfee9fb5a550d6e8dfc.mp4
    1.7 MB
Gaidi busha Ayatollah baada ya kipondo cha yahudi na baada ya Trump kumwombea msamaha kwa Nyau ndo ametoka shimoni wiki hii full kachafuka kwa misamadi iliyomtoka full kunuka mijanaba🤣😂
Na ashaambiwa akae kwa kutulia akileta shobo kwa wanaume Trump na Nyau safari hii ndo itakuwa mwisho wake huyo mvaa madera
Iran bado inaendelea kuzika mizoga ya wairan mibusha waliouliwa kibudu na yahudi.
 
Umeandika vizuri sana mkuu. Kwa upande wa wachungaji wetu nina hakika Mossad hawatoi hata shilingi kuwapa wachungaji. Sema wachungaji wanachofanya ni kutumia maandiko ya vitabu vilivyotengenezwa na wakoloni kuwadanganya waafrika kuhusu Israel na baadae kukusanya sadaka na kwenda kuzificha bank kwa ajili ya kesho yao na familia zao.

Upumbavu wa waafrika wengi ndio daraja zuri linalotumiwa na hao wachungaji kufanikisha ndoto zao za kimaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…