Hivi ni haki kwa mke kumficha mumewe password ya simu yake?

Wewe umempa password ya simu yako?
 
Jaman kuanzia sasa napokea mapendekezo ya eneo la kuweka sanamu ya mkuu Labella kula gwala aisee 🤛👊
 
Alooh! Umeongea bonge la point. Sawa tutagangamala nao wake zetu wasituletee ujinga ndani ya nyumba
 
Mkuu akiendelea kukatalia nikodishie huyo mwanamke. Kwa sheria za ki feminst hutakiwi wala kuishika simu ya mkeo/mmeo bila lidhaa yake.
Ila sisi wazee wa kuforce simu ya mama mji hadi watoto lazima wajue password sio ombi ni lazima
 
hili nshafafanua mkuu kinagaubaga apo juu ni hivi mke analipiwa dau kabla ya kungana na mumewe, kwaiyo yeye na vyote anavyovimiliki ni vya uyo mtoa dau.
Sawa lakini iwe stated afahamu tangu mnakubaliana kuoana
 
Hata ikiwa na password shart mume aijue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…