Hivi ni haki kwa mke kumficha mumewe password ya simu yake?

Simu Personal sio land Line.., wewe wanaokutumia Message sio for Public Consumption ni for your eyes only..., hivyo wanaodai password za mali za watu ni mazumbukuku na wanaotoa password wakati kuna third parties involved hawana ustaarabu
 
Hata ikiwa na password shart mume aijue
Kabisaa mkuu, password hakikisha unaweka jina lako ili atambue yupo chini yako na wewe ndo mmiliki wa kila kitu humo ndani ikiwemo na yeye 😹
 
πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Unaenda wapi shemeji wee tulia hapa usikie visingizio vya ndugu yako.
Alafu wee ndio utakuwa wamtafutia hayo ma deliboloz
 
Unaenda wapi shemeji wee tulia hapa usikie visingizio vya ndugu yako.
Alafu wee ndio utakuwa wamtafutia hayo ma deliboloz
😹😹😹
Yeye aliona kwenye vidéo za warumi, dada yangu kapoaaa Hana makando kando bana shem..! 🀣

Familia yetu wote watakatifu si eti dada zangu Joannah Pridah
 
Je ana mawasliano gani mhimu upande wake ambayo Mimi kama mme sipaswi kujua, je ni
michango Hapana,
vikao Hapana,
mafundisho ya dini hapana,
mambo ya biashara Hapana,

Sasa cha mhimu ni nini cha kunificha wakati nafasi ya majukumu tunapiga miguu yote miwili,

Msimamo wangu niko hivi Yule unayemficha ndiyo wa mhimu kwako kuliko mimi
 
wAtu kama wewe mmebaki wachache sana mkuu
 
sawa, na tuseme mpo vizuri hamchepuki

lakini huo ukaguzi wa ovyo ovyo si unaboa? sio dalili ya uoga kweli?
Kwa sisi malegend hatukagui hovyo, kila mara inaboa.

Ukaguzi ni mpaka tukianza β€˜kusense’ vitu fulani haviko sawa, hapo tunaingia mzigoni kuhakikisha usalama na afya ya mahusiano viko secured.
 
Hata kama kanunua mume
Simu yangu ni ya kwangu,hakuna pimbi yoyote anaweza kunieleza azawaizi

Braza Kede simu yangu haiwezi kuwa mali ya kila mwanafamilia mkuu
Kiufupi hakuna mtu kwenye hii dunia anayejua password ya simu yangu
Wewe jeuri unatakiwa upigwe akili ikukae sawa uwe na adabu 😹😹
Kwann uweke password shem asijue, unaficha nini?? 🀣
 
Wewe jeuri unatakiwa upigwe akili ikukae sawa uwe na adabu 😹😹
Kwann uweke password shem asijue, unaficha nini?? 🀣

Hakuna nachoficha mama la mama
Lakini pia haimaanishi eti mume anatakiwa kuona nachowasiliana na watu wangu
 
Wanaume wenzangu , Simu ya baba ndiyo simu ya familia wanawake hawanaga simu.
 
Wanaume wenzangu , Simu ya baba ndiyo simu ya familia wanawake hawanaga simu.
unaongelea simu ipi maana mbaba shababi huwa ana simu mbili hiyo moja ni kitochi inabaki kwenye gari muda wote hiyo marufuku kutoka ndani ya gari - hii ina kazi maalum nitaielezea kwa kina siku ingine.

wengi wanaijua ile ya pili ambayo unaweza kumuona nayo muda wowote ila hii hata ukipewa hauwezi kuifungua kizembe kwa jinsi ilivyojaa codes za maana.
 
Joannah ana kesi yakujibu hapa kwa nini asemw nina kibamia
🀣🀣🀣🀣🀣Heee kwani mi ndio nimetangaza?we si zipu yako mbovu kila mtu unamuonyesha kibamia sasa kuna siri hapo tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…