Afadhali umegundua,ndio zao hizo...Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
🤣🤣🤣Wananuna kama wamekatwa miguu.
Ahh wee wanaune wote wadhaifu kwa mbususu.Aaaiiiii. 🤣🤣🤣
Sio wote banaa.
You're such kind of a special woman most of the gentlemen would like to find. Hongera sana sweetheartI can purchase things way more than my husband and say nothing about it.
Katika kitabu cha Sira cha Biblia kuna mstari unasema ni aibu na fedheha mume kulishwa na mkeweHebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Ila kuoa napo mtihani..Ukiangukia mikononi mwa bomu tu imekula kwako.Hapo ndipo utakapowaona waliopo singular wana unafuu kulio wewe uliyejitosa ndoani.Yeye wacha afanye kazi mshahara wake muachie yeye.
Mie principle yangu moja nakuhudumia ila siku ukinikamata na micheps zangu sitaki fyoko fyoko.
Heee!! We Mzab unamaanisha ama?Fukuza huyo mwanamke hamna binadamu hapo kuna shetani tuu hapo
Hakunaga umasikini usiopona ndugu hayo mawazo yako ni ya kizamani sana, hakuna aliye andikiwa kuwa masikini daima hadi binti aolewe eti mumewe ndo asaidie familia yake! Umasikini na utajiri ni kama nguo tunavishwa tu yeyote anaweza kuivaa hakuna mmiliki wa milele juu ya hivo vitu viwili,Kwao itakua uchumi siyo mzuri Mwanamke kama kwao hakuna shida anakua na furaha, fikiria Kwao njaa na ametumia pesa yake kununua chakula chenu na wewe upo anona unakula na wakati huo kwao hawajala siku nzima au wanakula mlo mmja lazima anune.Ni muimu Vijana kabla ya kuoa au kutafuta Mwenza wa Maisha tujaribu kuchunguza familia za wenza wetu Tabia zao na Uchumi wao, Nashauri vijana kama Mchumba wako kwao Masikini si vizur kufunga nae ndoa, Kwasabu kipato cheng kitakua kinatibu ugonjwa usiopona ugonjwa wenyewe ni Umasikini, Mfano Utakuta Mke na mume Wanafanya kazi Mke Mshahara 350k na Mume 450K.
Sasa Mwanamke ana malengo ya kuwajengea Nyumba Wazazi wake na kuhudumia ndugu zake.
Mara nyingi ninufala wetu tuu sie wanaume.Ila kuoa napo mtihani..Ukiangukia mikononi mwa bomu tu imekula kwako.Hapo ndipo utakapowaona waliopo singular wana unafuu kulio wewe uliyejitosa ndoani.
Sasa mbona mmeshupaza shingo kuzitaka haki sawa ndani ya nyumba. Ama kweli wanawake hata hamjui nini mnatakaKu provide si nature yetu.
Ndio amfukuze. Kwani huyo mke alilala njaa? Yaani hawezi vumilia spending 70k while husband amesafiri kweli? Hapana bwana kuna limits huyo analeta ushetani.Heee!! We Mzab unamaanisha ama?
Kama alishamzowesha huyo mke chake ni chake na cha mume wake ni cha kwao mnategemea nini?
You people are selfish ndio maana Diamond Platinumz pamoja na 50 Cents wanawanyoosha kisawasawa na kuwatupa kama toilet paper..Ku provide si nature yetu.
AsanteKatika kitabu cha Sira cha Biblia kuna mstari unasema ni aibu na fedheha mume kulishwa na mkewe
Hili unalolieleza hapa basi mie ni mmojawapo wa wahanga wakubwa sana. Mwanamke anayetokea familia ya kimaskini ana changamoto nyingi sana kuwahusu nduguzeKwao itakua uchumi siyo mzuri Mwanamke kama kwao hakuna shida anakua na furaha, fikiria Kwao njaa na ametumia pesa yake kununua chakula chenu na wewe upo anona unakula na wakati huo kwao hawajala siku nzima au wanakula mlo mmja lazima anune.Ni muimu Vijana kabla ya kuoa au kutafuta Mwenza wa Maisha tujaribu kuchunguza familia za wenza wetu Tabia zao na Uchumi wao, Nashauri vijana kama Mchumba wako kwao Masikini si vizur kufunga nae ndoa, Kwasabu kipato cheng kitakua kinatibu ugonjwa usiopona ugonjwa wenyewe ni Umasikini, Mfano Utakuta Mke na mume Wanafanya kazi Mke Mshahara 350k na Mume 450K.
Sasa Mwanamke ana malengo ya kuwajengea Nyumba Wazazi wake na kuhudumia ndugu zake.
Which where when what???!!!I can purchase things way more than my husband and say nothing about it.
Shida wengine ni waigizaji kwelikweli..Mtu anaficha makucha kwenye courtship period akiingia ndoani sasa ndio anakunjua zake.Mara nyingi ninufala wetu tuu sie wanaume.
Kuoa mbona fresh sana. Muhimu dont ignore red flags wakati wa mahusiano kabla ya ndoa. Weka vitest vya hapa na pale ili kumjua mwanamke yukoje trust me utamgunda tuu kuwa huyu wife material au huyu ni chombo ya starehe
Hao dawa yao ni kuzaa nao tu na sio kuoa. Get married to your money and hustling..Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Ebu weka huo mstari kwa maufaa ya wanaume wote hapa jfKatika kitabu cha Sira cha Biblia kuna mstari unasema ni aibu na fedheha mume kulishwa na mkewe