Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

Shida wengine ni waigizaji kwelikweli..Mtu anaficha makucha kwenye courtship period akiingia ndoani sasa ndio anakunjua zake.
Bro trust me hamna mtu ata pretend nadi ya miaka miwili bwana wewe.
U just have to use ur brain. Tatizo wengi wetu tunaenda na hisia (am also guilty of this) japo baada ya kujaja ruka kuwa hapa ni akili kwanza hisia baadae nikaja kupata very caring and understnding wife.

Kidume weka misimamo yako wazi toka begining usipepese macho na mzungumze na muishi hiyo misimamo yenu. Utafanikiwa.
 
Ndio amfukuze. Kwani huyo mke alilala njaa? Yaani hawezi vumilia spending 70k while husband amesafiri kweli? Hapana bwana kuna limits huyo analeta ushetani.

Na kama mwanamke anataka wanaume wa kutoa tuuu mbona wapi kwa nini anune? Achukue begi lake akasake hao wanaume. Mbona life simple sana.
Umeongea kirahisi sana Mzab na ingekuwa hivyo ndoa nyingi zisingekuwepo saa hii.

Vipo vya kumfukuza mke ila sio hicho ambapo kikawaida mwanaume ndo anayeoa.
 
Kwao itakua uchumi siyo mzuri Mwanamke kama kwao hakuna shida anakua na furaha, fikiria Kwao njaa na ametumia pesa yake kununua chakula chenu na wewe upo anona unakula na wakati huo kwao hawajala siku nzima au wanakula mlo mmja lazima anune.Ni muimu Vijana kabla ya kuoa au kutafuta Mwenza wa Maisha tujaribu kuchunguza familia za wenza wetu Tabia zao na Uchumi wao, Nashauri vijana kama Mchumba wako kwao Masikini si vizur kufunga nae ndoa, Kwasabu kipato cheng kitakua kinatibu ugonjwa usiopona ugonjwa wenyewe ni Umasikini, Mfano Utakuta Mke na mume Wanafanya kazi Mke Mshahara 350k na Mume 450K.
Sasa Mwanamke ana malengo ya kuwajengea Nyumba Wazazi wake na kuhudumia ndugu zake.
Mwanamke masikini ataolewa na Masikini mwenzake..
 
Umeongea kirahisi sana Mzab na ingekuwa hivyo ndoa nyingi zisingekuwepo saa hii.

Vipo vya kumfukuza mke ila sio hicho ambapo kikawaida mwanaume ndo anayeoa.
Wanawake mnakuwaga na tabia ya kumjaribu mwanaume...sasa ukikuta mwanaume anayejitambua ndio mnaanza kulalamika.

Hapo unadhani ukimwambia haya mama hayo makairiko yako sitaki hapa. Umeshindwa nenda kanu e kwenu unadhani ataenda...subuthu!
Mwanaume ni msimamo tuu. Ukiweka msimamo mwanamke atafuata. Hataki she can be replaced in a moments notice.
 
Hahahaaa! Naomba nicheke kwanza rafiki yangu Mzab hivi ndo umepigaje hapo msitari wa mwisho. 😂😂😂
 
Ulijaribu kumuuliza ?

Ninajua wadau ambao wake zao wana kipato kuliko wao na kila mara wakifanya shopping hata kulipia Karo wanawaambia watoto kamwambieni baba yenu alafu mama ana clear behind the scenes...

Mwanaume anaendelea kujiona kichwa ila kumbe shingo ni Mama na anayempeleka popote (kwa busara zake)
Daah wachache sana hao naweza kusema 1 kwenye 100
 
Back
Top Bottom