Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
- #101
😂 Pole na hongera kwa kutimiza majukumu.Mkuu tafadhali tuheshimiane mm Nina familia nailisha Milo mitatu kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 Pole na hongera kwa kutimiza majukumu.Mkuu tafadhali tuheshimiane mm Nina familia nailisha Milo mitatu kabisa.
Nyie dawa yenu ni kunyooshwa kama anavyofanya Diamond na muhuni 50 Cents..Ku provide si nature yetu
Lazima na dharau zina anza hapo hapo, japo kuna wanawake wachache mno wanaweza hayo ana provide na halalamiki.
Kwa hiyo wanawake wa kizungu na wa kiafrika ni nature 2 tofauti.Ku provide si nature yetu.
Bro trust me hamna mtu ata pretend nadi ya miaka miwili bwana wewe.Shida wengine ni waigizaji kwelikweli..Mtu anaficha makucha kwenye courtship period akiingia ndoani sasa ndio anakunjua zake.
Umeongea kirahisi sana Mzab na ingekuwa hivyo ndoa nyingi zisingekuwepo saa hii.Ndio amfukuze. Kwani huyo mke alilala njaa? Yaani hawezi vumilia spending 70k while husband amesafiri kweli? Hapana bwana kuna limits huyo analeta ushetani.
Na kama mwanamke anataka wanaume wa kutoa tuuu mbona wapi kwa nini anune? Achukue begi lake akasake hao wanaume. Mbona life simple sana.
Mwanamke masikini ataolewa na Masikini mwenzake..Kwao itakua uchumi siyo mzuri Mwanamke kama kwao hakuna shida anakua na furaha, fikiria Kwao njaa na ametumia pesa yake kununua chakula chenu na wewe upo anona unakula na wakati huo kwao hawajala siku nzima au wanakula mlo mmja lazima anune.Ni muimu Vijana kabla ya kuoa au kutafuta Mwenza wa Maisha tujaribu kuchunguza familia za wenza wetu Tabia zao na Uchumi wao, Nashauri vijana kama Mchumba wako kwao Masikini si vizur kufunga nae ndoa, Kwasabu kipato cheng kitakua kinatibu ugonjwa usiopona ugonjwa wenyewe ni Umasikini, Mfano Utakuta Mke na mume Wanafanya kazi Mke Mshahara 350k na Mume 450K.
Sasa Mwanamke ana malengo ya kuwajengea Nyumba Wazazi wake na kuhudumia ndugu zake.
Wife Material sana wewe..I can purchase things way more than my husband and say nothing about it.
Wanawake mnakuwaga na tabia ya kumjaribu mwanaume...sasa ukikuta mwanaume anayejitambua ndio mnaanza kulalamika.Umeongea kirahisi sana Mzab na ingekuwa hivyo ndoa nyingi zisingekuwepo saa hii.
Vipo vya kumfukuza mke ila sio hicho ambapo kikawaida mwanaume ndo anayeoa.
I learnt it from my mom.You're such kind of a special woman most of the gentlemen would like to find. Hongera sana sweetheart
😂 Sijasikia vizuri unasemaje?Mrudishie pesa yake bro.
Wakati huo sisi bodaboda tunamuangalia tu..Tafuta pesa mkuu acha kushinda masjid.
Kwanza Mwanamke ni pambo la nyumba anatakiwa ajifungie ndani ajirembe tu ili ukirudi umtumie..
SIRA 25:22 (BHNTLK) Ni ghadhabu, aibu na fedheha mume kulishwa na mkewe.Ebu weka huo mstari kwa maufaa ya wanaume wote hapa jf
I am taken already ☺️Which where when what???!!!
Upo wapi sie members wa chaputa tuje kukuona?
Mkuu, don't refund her. Utanishukuru baadae..Katumia elf 70 Mimi sikuwepo kama siku 3 hivi na kweli sikuacha fedha ya matumizi ila chakula kilikuwepo ndani gesi ipo , umeme upo ila nimekuja kukuta malalamiko sana anasema vitu vidogo vidogo amenunua mpaka ameandika kwenye daftari. Aisee
Asante sana. Na kila mwanaume alitambue hili. Kama hunanhela ya kulisha mwanamke usioe. Piga nyetoSIRA 25:22 (BHNTLK) Ni ghadhabu, aibu na fedheha mume kulishwa na mkewe.
Hahahaaa! Naomba nicheke kwanza rafiki yangu Mzab hivi ndo umepigaje hapo msitari wa mwisho. 😂😂😂Wanawake mnakuwaga na tabia ya kumjaribu mwanaume...sasa ukikuta mwanaume anayejitambua ndio mnaanza kulalamika.
Hapo unadhani ukimwambia haya mama hayo makairiko yako sitaki hapa. Umeshindwa nenda kanu e kwenu unadhani ataenda...subuthu!
Mwanaume ni msimamo tuu. Ukiweka msimamo mwanamke atafuata. Hataki she can be replaced in a moments notice.
Daah wachache sana hao naweza kusema 1 kwenye 100Ulijaribu kumuuliza ?
Ninajua wadau ambao wake zao wana kipato kuliko wao na kila mara wakifanya shopping hata kulipia Karo wanawaambia watoto kamwambieni baba yenu alafu mama ana clear behind the scenes...
Mwanaume anaendelea kujiona kichwa ila kumbe shingo ni Mama na anayempeleka popote (kwa busara zake)