Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

Aaaiiiii. 🤣🤣🤣

Sio wote banaa.
Ahh wee wanaune wote wadhaifu kwa mbususu.
Haya tuseme umetumia hiyo 70k. Faza haus karudi wee unampoke kwa bashasha anakuta umepiga zako jersey ya pacoume hapo na biker short yako. Chakula kipo kimeandaliwa unamjali hubby wako na baada ya kula unampa ale tena 😜
Baada ya mbilingembilinge za sura kwa sita ukamwambia baba nanii nilikuwa na shida ya 70k naom a...atakupa tuu.

Lakini anafika nyumbani full mnuno mara kisirani ah wee ata mie nakuzabua mabao.
 
Yeye wacha afanye kazi mshahara wake muachie yeye.
Mie principle yangu moja nakuhudumia ila siku ukinikamata na micheps zangu sitaki fyoko fyoko.
Ila kuoa napo mtihani..Ukiangukia mikononi mwa bomu tu imekula kwako.Hapo ndipo utakapowaona waliopo singular wana unafuu kulio wewe uliyejitosa ndoani.
 
Kwao itakua uchumi siyo mzuri Mwanamke kama kwao hakuna shida anakua na furaha, fikiria Kwao njaa na ametumia pesa yake kununua chakula chenu na wewe upo anona unakula na wakati huo kwao hawajala siku nzima au wanakula mlo mmja lazima anune.Ni muimu Vijana kabla ya kuoa au kutafuta Mwenza wa Maisha tujaribu kuchunguza familia za wenza wetu Tabia zao na Uchumi wao, Nashauri vijana kama Mchumba wako kwao Masikini si vizur kufunga nae ndoa, Kwasabu kipato cheng kitakua kinatibu ugonjwa usiopona ugonjwa wenyewe ni Umasikini, Mfano Utakuta Mke na mume Wanafanya kazi Mke Mshahara 350k na Mume 450K.
Sasa Mwanamke ana malengo ya kuwajengea Nyumba Wazazi wake na kuhudumia ndugu zake.
Hakunaga umasikini usiopona ndugu hayo mawazo yako ni ya kizamani sana, hakuna aliye andikiwa kuwa masikini daima hadi binti aolewe eti mumewe ndo asaidie familia yake! Umasikini na utajiri ni kama nguo tunavishwa tu yeyote anaweza kuivaa hakuna mmiliki wa milele juu ya hivo vitu viwili,
 
Ila kuoa napo mtihani..Ukiangukia mikononi mwa bomu tu imekula kwako.Hapo ndipo utakapowaona waliopo singular wana unafuu kulio wewe uliyejitosa ndoani.
Mara nyingi ninufala wetu tuu sie wanaume.
Kuoa mbona fresh sana. Muhimu dont ignore red flags wakati wa mahusiano kabla ya ndoa. Weka vitest vya hapa na pale ili kumjua mwanamke yukoje trust me utamgunda tuu kuwa huyu wife material au huyu ni chombo ya starehe
 
Heee!! We Mzab unamaanisha ama?

Kama alishamzowesha huyo mke chake ni chake na cha mume wake ni cha kwao mnategemea nini?
Ndio amfukuze. Kwani huyo mke alilala njaa? Yaani hawezi vumilia spending 70k while husband amesafiri kweli? Hapana bwana kuna limits huyo analeta ushetani.

Na kama mwanamke anataka wanaume wa kutoa tuuu mbona wapi kwa nini anune? Achukue begi lake akasake hao wanaume. Mbona life simple sana.
 
Kwao itakua uchumi siyo mzuri Mwanamke kama kwao hakuna shida anakua na furaha, fikiria Kwao njaa na ametumia pesa yake kununua chakula chenu na wewe upo anona unakula na wakati huo kwao hawajala siku nzima au wanakula mlo mmja lazima anune.Ni muimu Vijana kabla ya kuoa au kutafuta Mwenza wa Maisha tujaribu kuchunguza familia za wenza wetu Tabia zao na Uchumi wao, Nashauri vijana kama Mchumba wako kwao Masikini si vizur kufunga nae ndoa, Kwasabu kipato cheng kitakua kinatibu ugonjwa usiopona ugonjwa wenyewe ni Umasikini, Mfano Utakuta Mke na mume Wanafanya kazi Mke Mshahara 350k na Mume 450K.
Sasa Mwanamke ana malengo ya kuwajengea Nyumba Wazazi wake na kuhudumia ndugu zake.
Hili unalolieleza hapa basi mie ni mmojawapo wa wahanga wakubwa sana. Mwanamke anayetokea familia ya kimaskini ana changamoto nyingi sana kuwahusu nduguze
 
Mara nyingi ninufala wetu tuu sie wanaume.
Kuoa mbona fresh sana. Muhimu dont ignore red flags wakati wa mahusiano kabla ya ndoa. Weka vitest vya hapa na pale ili kumjua mwanamke yukoje trust me utamgunda tuu kuwa huyu wife material au huyu ni chombo ya starehe
Shida wengine ni waigizaji kwelikweli..Mtu anaficha makucha kwenye courtship period akiingia ndoani sasa ndio anakunjua zake.
 
Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Hao dawa yao ni kuzaa nao tu na sio kuoa. Get married to your money and hustling..
 
Back
Top Bottom