Hivi ni kwanini siku hizi watu hawapigani mitaani kama miaka ya 1980s?

Sababu ni mabadiliko ya tabia nchi..watu hawana afya pia hula vi batili...ukipiga mtu kofi anaweza kuzimika jumla..sasa kifuatacho......
 
Ila kwell kabisa watu hawapigani kabisa ! Nilikua napenda sana kupigana
 
Njoo huku kwetu mkoa wa Mara bado tunapigana, tena wanaume tunatembea tumevaa makoti marefuu hata kama kuna jua kali, sababu: nimeficha panga limenolewa, sasa ugomvi ukianza tu mie nachomoa panga au na mwenzangu naye anachomoa panga lake KAZI INA ANZA. huku kwetu hata hospitali ya mkoa wa Mara hakuna wagojonjwa kuharisha,ooo mara malaria, mara sijui mkojo mchafu nooooooo huku wagonjwa ni MAJERUSI TUUUUUU
 
Y Yeah!, cool 9!, Na Hayati, umenikumbusha mbali Sana!, siku moja cool 9 alizinguana Na mzee mmoja dereva wa Lori la mafuta mtaani kwetu, alikura risasi ya bega, ikawa stori ya mjini, sisi wenyewe wakati tunakua tulikuwa Na kitu inaitwa "UWANJA WA DAMU", mkibishana buti Tu ya kwenye soka Kila kitu kinasimama tunelekea uwanja wa damu kwa pambano moja, lakini huko yatazuka mengine hata zaidi ya 10, mzunguko ukiisha wote mlioenda Kama watazamaji mnajikuta mmezipiga, ili usipigwe kubali unyonge mapemaaa!, ila ndio utachekwa mpaka Na wasichana( Na hapo ndipo mtoto wa kiume anapofanya maamuzi magumu), Siku hizi, kupigana Tu hadharani wote mnashitakiwa, Na watu wanajua Sana sheria, "hata kuitanana bwege Tu!, ........!.
 
Ulikuwa Hawafu mwenye nguvu mkuu.... Uliandika Kitabu?
 
Sasa hiv watu wanapigana kiDigital (Fedha, kwenye mitandao ya kijamii).........


Silaha pesa kisu mzigo
 
Mambo mengi sana ya miaka hiyo hayapo tena si kwa vijana tu bali hata watoto. Vurugu hizo za kitaa miaka hiyo ilikuwa kama sehemu ya burudani, maana technology ya simu au tv vilikuwa bado sana. Kwa kipi di hiki mambo ni tofauti sana, hata ule ushabiki wa.mambo ya kale haupo tena, watu wa rika zote wamewekeza zaidi kwenye smart phone, phabletes na tv. Biashara ya kurushiana ngumi kavu kavu imebaki kwa walevi wachache wakipendeza.
 

At least wewe umejaribu kuongea ukweli japo mwishoni umejaribu kudanganya kuliko wakongwe wenzio ambao wao walikua wababe tu kipindi hicho...
 
Raia siku hzi kama hana tatizo la INI basi ujue FIGO zinazingua, ubavu wa kupigana atautoa wapi?
Kwa sehemu zingine,kipindi hicho michezo kupigana ilikua ni mojawapo ya tamaduni kwasababu utakuta watu wanachonganisha watu fulani ili wajue nani mbabe kati yao na pia kutaka kumjua mbabe wa kitaa/kijiji...
Pia zamani vyakula vilikua vinaruhusu watu kupigana,kitu cha ugali majani ya kunde,samaki original, sio siku hizi chakula chips, fursana, azam cola utakufa tu baada ya kupigwa nakoz mbili tu.
 
Swala sio kupigwa chupa au tofari au betoo. All that huitwa "Brawls". You use the environment to your advantage. Sikuhizi kuna wanawake-wanaume, in English is what they are called "BitchNiggers" or "Pussies" or "Ladyboys" (Samahani kwa kutunia profanity/lugha chafu/lugha ya mtaani).

Watu wanaongea sana na kutishiana kwa mdomo cause they ain't real men, the act like one but they all boys. There is no honor no more in people these days!

In '80, mtu atakayekukutukana, au kukukanyaga au bump you while you where walking; you beat him up so hard that attaenda kuadisia kwa wenzake. All b'cause of defending your honor and building/maintaining your rep (other words, respect in the streets). With that kind of a respect, you are known to be more of a man and more of a fighter both in streets and in life.

Pia, the other reason, is to show up to women. Zamani, wanawake they like to see a man who defends her honor. Zamani kumpiga mwanamke ilikua ni nadra, so you hit a woman; s'one will come and hit/kill you. So, when in a club, you show off to women by being an "Alpha" male in that club by beating up s'other dude who tries to grab attention ya huyo mwanamke.

These days, women are won over by money or a type of car you drive (still existed in '80) or s'stupid ignorant shit and also, they are more of ladyboys than men.

PS: There is another meaning of a 'Ladyboy", in these case,it's not applicable.
 
Kuna watu wana hamu ya kukojozwa humu, anayetaka kichapo heavy aseme Suuu
 
Siku hizi watu wanapigana nyuma ya keyboards.

Too many pussies and sore vaginas.
 
Haaa haaa ni kweli nakumbuka kipindi hicho tukitoka shule lazima zipigwe sana hadi mtu atoke damu ndio unaonekana mjanja.

Mambo yamebadilika sana karibu kila kitu siku hizi ni tofauti na zamani.1980S tulikuwa tunawinda ndege,tunatengeneza manati..........Watoto wa kizazi hiki wako busy na smartphone.
 
Sikumbuki kama niliwahi kumpiga mtu wa rika yangu zaidi ya kutembezewa kichapo tu .
Nilikua nawaonea wadogo kiumri .
Rika langu walikua wananifumua sana tu,uzuri nilijenga urafiki na mabaunsa ndo walikua wananiokoa
 
Zamani hizo bana, krismasi haiishi bila historia ya kudundana
 

Hahaha nimecheka sana ukute hata hiyo 1981 ulikua hujazaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…