Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Kweli tena kule tech ndio mpango hamnaga mipasho,
 
Wakuu mnajua mkuu aliyeanzisha neno mkuu ili mkuu aliyeuliza swali amfahamu mkuu huyu,mkuu jitokeze bhana
 
Hili neno tumelizoea vibaya! Mi nishamwitaga houseboy wangu "Mkuu" hakunielewa hata kidogo.
 
Hili ni neno la heshima na watu wa mwambao hulitumia sana badala ya kumuita mtu "mama mkuu/mkubwa, nk" basi unakatisha tu kwa kumuita "mkuu". Very common kwa sisi watu wa Tanga. It literally means "aliekuzidi umri au cheo".
 
Mkuu umenikumbusha kweli, wakati nakaa jeshini kuna jirani yetu afande bendera alikua ni mtu wa tanga, basi kuna dada yake akaja wakawa wanamwita mkuu mimi nikajua labda na yeye ni mwanajeshi mwenye cheo kikubwa au mkuu wa kikosi kumbe ni kuonesha heshima flani!
 
Bila kumsahau c.power,drphone:smile-big:
 
Asante mkuu kwa kwa kuuliza hili hata mi nilishangaa mtu ananipm habari yako mkuu khaaa
Hivi linatumika kwa jinsia zote au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…