The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mimi nile kama hivyo alafu nyama choma na ugali nani ale?,mkuu acha tule tu,kwa wengine kula ni starehe.Mimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705
Tafuta hela, umaskini siyo sifa. Ona sasa unafanana na betina.Mimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705
Haaahaa 😊Mi sipendi kula sana, ila kwa huu Ubweche lazima nipige plate 2.
Binadamu unatakiwa ule kiasi kidogo kuepusha magonjwa ya mtindo wa maisha kama kiribatumbo, kisukari na magonjwa mengine mengi. Pia kula sana ni upotezaji wa pesa usio na sababu za msingi. Kula kwa kiasi tu.Eleza
Wanakula vizuri baada ya kazi, lakini muda wa kazi ni kazi, na chakula ambacho kinaweza kupatikana kwa haraka ni kama hicho, sio umasikini ndugu, kama kuna watu wanakula vyakula vya gharama basi wa migodini hawakosekani, lakini nikiri sio ule ulaji wa kuzinganitia kama mnavyozingatia, ukiwakuta watu wa mgodini wameenda kula baada ya kazi unaweza kusema hii ni kufuru. Mazingira ya mgofini hayaruhusu watu kula vitu laini sababu kwanza huwezi vipata kwa urahisi, watu wanakwepa husda( hasada ) watu wapo nje ya muda, kupata muda wa kuandaa chakula cha masaa huku haupo. Na sababu nyingi zingine ndogo ndogo. All in all watu bado wanatafta wakizipata watakula wanachotaka.Kwa nini watu wa migodini huwa wanakula kimasikini sana ??
wengi hawali kutegemea na shughuli zao za kila siku... wanapakia tu ndo mwishowe Kwashiakor zimejaa kila kona..Mimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705
Ndio mazingira ya shughuli zetu yanaruhusu ulaji wa chakula kingi.Africa tuna upungufu wa vitendea kazi hivyo sehemu kubwa ya shughuli zetu tunazifanya manually kwa kutumia direct miili yetu.......
Wanaokula visinia ni comedians na influensa wa kuchovya, wachuuzi kariakoo, wamama wa uswahilini na wafanyakazi wazembe tu maofisini.Africa tuna upungufu wa vitendea kazi hivyo sehemu kubwa ya shughuli zetu tunazifanya manually kwa kutumia direct miili yetu.......
Huu ni ufukara.. Utapata utapiamlo wa ukubwani🤣Mimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705
Kula ni starehe Kama ilivyo tu kunywa bia, kucheza , kulombanaUnakuta mtu kwenye mlo mmoja anakula nyama, maharage na dagaa😁, huo ni ujuha.
We jamaa mshamba sana, waswahili pwani hawali hivyo, huku unaweza ukapika ugali ama wali usioeleweka watu wakakususia wakaenda kula nyumba nyengine.Na kwa bongo ulaji wa wanga mwingi uliochakatwa sana, mafuta mengi, protein kidogo, mboga na matunda kidogo ni wa Kiswahili zaidi ukanda wa Pwani 😁
na ukila kidogo mwili hautachoka?Christian Ronaldo ni mmoja ya Athletic wazuri kupata kutokea, yupo fit ila hali ugali mlima, hizi ni kamba tu, hata kazi ngumu na kubeba mizigo kunahitaji nutrients bora na sio zigo la chakula, kula ugali mkubwa kama mlima Kilimanjaro kila siku ni kujidanganya, kunakupa confidence ila kiuhalisia mwili unauchosha.