Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 745
- 1,329
Kamfano kadogo, sinia limejaa nyama, kuna masikini na tajiri, nani atakula nyama nyingi? Kumbuka tajiri anakula nyama kila siku ila masikini ni wakati wa sikukuu tu!Mimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705
hata mm nlkiua najua hivuo mpaka nilivyofika USA , oya kule jamaa wanakula sana portion ya chakula mnooo hata kwenye kununuaMimi huwa nakula hivi na kusurvive siku nzima.
View attachment 3696705
Biashara ya chakula haijawahi kumuangusha mtu marekani. Jamaa wanakula wale bhana 😂🙌🏽hata mm nlkiua najua hivuo mpaka nilivyofika USA , oya kule jamaa wanakula sana portion ya chakula mnooo hata kwenye kununua
Ukute unafakamia mi ugali🙌Ndiyo tayari
Biashara ya chakula haijawahi kumuangusha mtu marekani. Jamaa wanakula wale bhana 😂🙌🏽
Wenyewe Italian, Japanese, Indian, Chinese, Jamaican cuisines.
Kila kitu wanakula wale. Achilia mbali Hizo burger na french fries
Upo sahihi kabisaView attachment 3696796 rib eye kama hii ni almost 1kg bei chee tu,bongohuu msosi wa familia
Sawa,Mwaka wa kumi huu sili ugali
Bado ninatafuta 'FORMULA' yangu!View attachment 3696712
Bila kula no LIFE
Niko poa,hapa njaa tu inaniumaaaaa,,,nipate ugali Dona na maharageVipi hali yako kiafya
Hahah menu yako ikoje? Kwanini umeacha kula ugali?Mwaka wa kumi huu sili ugali
Haaaahaa 😁Bado ninatafuta 'FORMULA' yangu!
Tule kwa sana mkuu. Chakula tunakitafuta wenyewe kwa nini tusikile sana?
Tule kwa sana mkuu. Chakula tunakitafuta wenyewe kwa nini tusikile sana?