Hivi ni kwanini watu wengi wanaona aibu kuongeza chakula kwenye sherehe?

Ww mm kwenya harusi nitapiga msosi wa kushiba hizo aibu za kijinga mm sina mbona wao kwenye kutuomba michango hawaoni aibu?
Hata mimi huwa sijivungi aisee yaani nimechanga pesa yangu alafu nione aibu ya kula kwanza siyo kweli
 
Hahaha wapakuaji wanoko!
 
Hukuwa na uchungu na uho msiba
 
Ukivaa suti lazima ule kwa pozi,jaribu kufuatilia utagundua wengi baada ya harusi wakitoka wanasimama kwenye sehemu za misosi kujazia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…